Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MK254 can open a new thread for our city.

beautiful boy
huyo MK254 naye atakuwa hana shughuli ya maana hapo nairobi kama atasikiliza na kutekeleza ushauri wako.

unadhani wakenya hawakuwahi kuanzisha thread za kuisifia nairobi na kuidhalilisha dar es salaam?.

miaka ya nyuma kabla ya magufuli hajaingia madarakani zilishaanzishwa thread nyingi sana za aina hiyo. ila zote zilikuja kufa kifo cha mende ilipoanzishwa thread ya "battle".

this thead is unstoppable,inshallah it will trend up to year 2025.

hizi hapa ni baadhi ya thread za wakenya za wakati huo. inawezekana wakati zinaanzishwa wewe ulikuwa bado kindergarten.

East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery - JamiiForums

Nairobi: The City in the sun - JamiiForums

Kenyan & Tanzanian Surburbs - JamiiForums
 
Collo ambae ndio Msapere amejaribu mara nyingi mpaka kuanzisha battle yake nyingine ya vichochoroni against hii grand grid lakini alishindwa vibaya, kuhamasishana wasusie huu mziki hawajaanza leo lakini kila siku wanaangukia pua wapo weak sana

Hili ngoma sio la kitoto lipo na litaendelea
 
Wanawake ndio wanatabia Za kununa na kususa[emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana hua wanapigwa sana na wanawake zao...hahaha nmecheka sana leo, Jitahidi mnune kabisa naenda kuleta yeast mvimbe mpasuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha.... imekula kwake. kumbe colomzii aka kilaza ndio Msapere

thanks for letting me know bro. otherwise i wouldn't know.
 
Wanawake ndio wanatabia Za kununa na kususa[emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana hua wanapigwa sana na wanawake zao...hahaha nmecheka sana leo, Jitahidi mnune kabisa naenda kuleta yeast mvimbe mpasuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana kwanza uwezo wao mdogo Akili ndogo haziwezi Ongoza Akili kubwa kamwe
wale hovyo tu
hapa nikutandika uchafu wa nairobi kwa kwenda mbele
Mada hii haifungwi leo mpaka 2025
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]gold medal[emoji122][emoji122][emoji122]

Hongera sana madogo ..hongera sana Tz
Yale majamaa yenye miguu iliyokomaa yenye sura ngumu hua yanasema uwanja wetu wa taifa hauna mataji yakome kweli kwelii.
 
Back
Top Bottom