Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Camera Vs phone, Actually that photo was take From here
This time with a phone at a low light .

IMG_6379.JPG

IMG_6380.JPG
 
tutaelewana tu, kama sio kwa lugha ya kiswahili au kingereza basi kwa lugha za kienyeji za makabila ya kenya.

tunajua kuwa mnafatilia kimya kimya huku mkiwa mmejaa kisirani na hasira vivuani.

today our prime minister kassim majaliwa has launched a special tv channel dedicated for broadcasting tourism related issues in tanzania.

View attachment 969119

Dar city jiji la wajanjaView attachment 969235

Alaf yalivo mandondocha ona kitu wanashangilia
View attachment 969246View attachment 969247

Hii kitu mmefanya ni mbaya sana.

Yaani imeumiza watu,mpaka nimeona huruma.
 
wakenya wa jf hatuhitaji m-comment chochote ktk hii thread kwa sasa, mbaki kutazama picha picha tu na kusoma comment.

tupo katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka(holidays). tunajua katika kipindi kama hiki baadhi ya wakenya fedha za za kutosha huja tz kufanya mapumziko.

hizi ni sehemu 15 zenye mvuto wa kitalii ambazo unaweza kutembelea uwapo nchini tanzania katika mapumziko yako ya holidays.

IMG_20181216_100633.jpeg
Screenshot_2018-12-16-10-05-50-106_com.opera.browser.jpeg
IMG_20181216_100111.jpeg
IMG_20181216_100132.jpeg
IMG_20181216_100145.jpeg
IMG_20181216_100200.jpeg
IMG_20181216_100210.jpeg
IMG_20181216_100222.jpeg
IMG_20181216_100232.jpeg
IMG_20181216_100248.jpeg
IMG_20181216_100258.jpeg
IMG_20181216_100309.jpeg
IMG_20181216_100319.jpeg
IMG_20181216_100330.jpeg
IMG_20181216_100342.jpeg
IMG_20181216_100359.jpeg
IMG_20181216_100412.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20181216_100232.jpeg
    IMG_20181216_100232.jpeg
    82.4 KB · Views: 31
Sasa tunasomeka vizuri tu duniani! Uwepo wa twiga 🦒 pale nyuma ni tangazo tosha kuboost utalii wetu
Wakenya wanafiki walisema hatuwezi nunua ndege 7 na hata zilivokuja bombadier zile waliziita mitungi ya chang'aa. ..
Sasa ndege zinakuja wanasema nn tena?
Reli walisema tuwaonyeshe km1 tu ndio waamini kama kwel..tena kuna mmoja alisema tukimuonyesha 1km ya sgr kuna jambo angefanya lakin bado yupo kimya
 
Inabidi wmatimize alichokisema ila wapo wengi waliobwabwaja
 
Ndo maana yule mchina alivunja ukimya coz alijaribu kuscan akaona haiwezekani hawa wawe ni binaadamu kamili. Of course wakenya wanahitaji hata tuwainjectie dna ya binaadamu kamili, kwa uboya huu wanahitaji msaada mkubwa
Wakenya ni watu wenye majigambo na sifa za kipuuzi yani wao mambo ya msingi kwa raia sio muhimu zaidi ya kuiga maisha ya wazungu mugabe alisema mkenya ni mtu mwenye kuhamisha visivohamishika 😂😂😂
 
Wakenya wanafiki walisema hatuwezi nunua ndege 7 na hata zilivokuja bombadier zile waliziita mitungi ya chang'aa. ..
Sasa ndege zinakuja wanasema nn tena?
Reli walisema tuwaonyeshe km1 tu ndio waamini kama kwel..tena kuna mmoja alisema tukimuonyesha 1km ya sgr kuna jambo angefanya lakin bado yupo kimya
Kwanza Nimependa sana Waondoke kwenye Thread hii maana hawana chakuzungumzia zaidi ya utoto
Sasa nimwendo wa kuwapa zauso
Lazima Wanakodoa mimacho Hahaha
 
Halafu wanadaiwa hadi leo na wachina wapo hadi deni liishe, wanawanyonya damu

Kuna mchumi wao anaitwa dr ndii aliyasema kabla mchina kujenga alisema deni hilo kenya hawawezi kulipa kwasababu pesa ni kubwa sana ukilinganisha na uhalisia ambao hauwezi kukidhi masharti ya kulipa deni hilo alaf pia aliizungumzia tanzania kwa upande fulani akasema kenya imejisahau kuhusu tanzania😂😂😂😂
 
Wakenya ni watu wenye majigambo na sifa za kipuuzi yani wao mambo ya msingi kwa raia sio muhimu zaidi ya kuiga maisha ya wazungu mugabe alisema mkenya ni mtu mwenye kuhamisha visivohamishika 😂😂😂
Mkenya Yupo Radhi avae suti aende CBD
Auze suraa mfukoni Zero
Jioni anarudi Kibanda Cha Nguruwe kulala
kwake poa sana
 
Back
Top Bottom