EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Halafu kwao ndo mradi mkunwa na wente thamani kuliko yooote tokea uhuru waoKuna mchumi wao anaitwa dr ndii aliyasema kabla mchina kujenga alisema deni hilo kenya hawawezi kulipa kwasababu pesa ni kubwa sana ukilinganisha na uhalisia ambao hauwezi kukidhi masharti ya kulipa deni hilo alaf pia aliizungumzia tanzania kwa upande fulani akasema kenya imejisahau kuhusu tanzania![]()



