ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ni nn...ni estates?au middle class area ya dar...ipe jina basi...
Tanzama hii picha imepigwa kw juu..mbna haikai kmView attachment 965846
Hii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 965849
Kuanzia Leo ubishi wa umeme kuendeshea huu mradi umezikwa rasmi! Watu wangoje aina za treni zitakazonunuliwa! Nina uhakika Magu atakuja na kitu cha maana!
Jibu lako ni dogo sana👇👇👇👇Mahali km ni pabaya ni pabaya tu...mbna majengo ya cbd ya blue yanaonekana freshy..... hku kwengine Mungu ndio anajuwa tu![]()
![]()
![]()
View attachment 965887
Hyo pesa mliibeba na briefcase ngapi kw pesa za madafu
Cheki huyu msee...hhhhhh!!!outdoor iko wPi
Ni bullet za maana kuna jamaa mmoja kanieleza anasema ni bullet za adabu yani ni za kipekee africa amenambia zitakua na uwezo wa ku record ubovu wa reli kokote na system zake ni hatari👏👏👏👏👏Kuanzia Leo ubishi wa umeme kuendeshea huu mradi umezikwa rasmi! Watu wangoje aina za treni zitakazonunuliwa! Nina uhakika Magu atakuja na kitu cha maana!
Kuanzia Leo ubishi wa umeme kuendeshea huu mradi umezikwa rasmi! Watu wangoje aina za treni zitakazonunuliwa! Nina uhakika Magu atakuja na kitu cha maana!
Wasizi-limit speed yaani wanunue zenye speed above 250km/h ili wale wa mtambo wa gongo wakianza ku-electrify SGR yao sisi tuna-modernize kona halafu mchuma unakimbizwa zaidi.Ni bullet za maana kuna jamaa mmoja kanieleza anasema ni bullet za adabu yani ni za kipekee africa amenambia zitakua na uwezo wa ku record ubovu wa reli kokote na system zake ni hatari👏👏👏👏👏
Lazma wanunue ambayo itaenda zaidi ya 200km per hr kuna sehemu nilisoma from moro to dom itakwenda speed mpaka 200 kwa saa👏👏👏👏Wasizi-limit speed yaani wanunue zenye speed above 250km/h iliac wale wa mtambo wa gongo wakianza ku-electrify SGR yao sisi tuna-modernize kona halafu mchuma unakimbizwa zaidi.
tutaelewana tu, mdogo mdogo.
tunawaza hatua 10 mbele yao.Asante magufuli kwa kuwabania majirani wasiokua na kheri na sisi
ukute kakupa kimakosa, sema tu ndio vile system ilisha count.aibu yake.Janerose mzalendo kanipa like leo
Kwani we ni kichaa space ya pedestrian kwa fly over?????hao watu wanavunja Sheria alafu unaleta upuzi hapa....ebu niletee pedestrian walk ya Ile yenu Il moja noone





Kenyan engineers hao