Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiyo mwanza yenu nimefika pa ovyo sana
[emoji3][emoji3][emoji3]eti mwanza pa hovyo
dd4c5306a764c6661b2762b8715d12e5%20(1).jpeg
tapatalk_1543931134040.jpeg
tapatalk_1543931040783.jpeg
 
tunapiga selfie but when it comes to deal with some serious tourism businesses, tanzania becomes first na urafiki wa kupiga selfie tunaweka kando.

View attachment 965511
Ukiona mkenya anakuchekea jua anafaidi..balaa ametoka mombasa..anajuwa jinsi ya kudili na wapiga domo..mpiga domo ukitaka akuthamini we msifie na kumpaisha tu...atajiona fahari kumbe unamsoma mienendo yake tu...mwisho atashangaa umemtelekeza na kuendelea na ya yako huku akibaki kushangaa
 
asante kwa ngonjera.
 
Yeah mi sa hiv naishi survey hapa kwenda CBD napanda daladala mbili
Mahali km ni pabaya ni pabaya tu...mbna majengo ya cbd ya blue yanaonekana freshy..... hku kwengine Mungu ndio anajuwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1544527078397.jpeg
 
Unajua ujenzi wa stiglers gorge biggest dam in east africa 2100MW imesainiwa leo na serekali imetoa pesa cash 3b usd no loan budaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hyo pesa mliibeba na briefcase ngapi kw pesa za madafu
 
Back
Top Bottom