Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So they are flying there? These Tanzanians though. Dumbasses

Hi ni aibu , never expect something like this will come from you. That explains everything.
Watu wa middle income, will high literacy, mmesambaa barabarani kama hivyo, halafu mwingine anasisitiza Eti ni flyover. Ndio zinatumika hivyo?
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
504C8000-68D0-4B87-B3C1-2AF3CE78183C.jpeg
1815A6A4-F6DD-40A8-A4AD-06B53A62E71A.jpeg
1669DE0A-5363-4AAF-9D3F-865E1F8E3040.jpeg
CCB31E74-9F7F-4AED-B07A-8D8B90546C6C.jpeg
 
kuna mkenya mmoja jinga amekuja na madai eti stiegler's gorge hydroelectric power that we have signed today with Egypt, is for competition purposes.

every big project that we do, we do it for national interest, hatushindani na nchi yoyote.


FYI, stiegler's gorge project ilianza kujadiliwa tangu enzi za mzee nyerere. lilikuwa ni suala la wakati tu na wakati huo ni sasa.hapa kazi tu.

kama tungekuwa tunataka kushindana na wakenya kwa kila kitu basi leo hii kila sehemu ya jiji la dar ingekuwa imejaa malls kama zilivyojaa nairobi.

tungekuwa tunataka kushindana na wakenya kwa kila kitu basi leo hii kila sehemu ya nchi ingekuwa imetapakaa migahawa ya junk food kama KFC nk.
so migahawa na malls inajengwa na serikali sio?
 
hilo swali utaniuliza wakati nikija kwa ruraćio.
chill, mbona pupa
halafu a day ago nilikuuliza mama yako ana umri gani, hukunijibu na mpaka leo unahepa kunijibu.

shida ni nini?....kumbuka mimi ni jizee la 60s, naweza kuwa baba yako mlezi.
 
Back
Top Bottom