Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kikwete youth park
kikwete youth park.jpg
 
hadi wazee wa makomo wa kikenya wanajua kuimba lyrics za wasanii wa bongofleva.

niliwahi kusema hapa siku zilizopita, ni jambo la kawaida kwa mkenya kujua kuimba lyrics za nyimbo za alikiba, diamond platnumz, hamornize nk,lakini hajui kuimba hata verse moja za nyimbo za nyashinski au sauti sol. baadhi ya wakenya wakatoa povu.

so this is what we're witnessing right now.
 

Attachments

Back
Top Bottom