Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

26Km from cbd hapo baba, thats why Dar equals to Two holly Nairobis.
Nimemuambia sa hiv nipo sa hiv karibu na jendo Hilo napanda daladala mbili Kwanza kwenda makumbusho na kutoka hapo kwenda posta na ni safari ndefu jengo hilo hapa
tapatalk_1544346302947.jpeg
 
Hii picha imepigwa mbali Sana na mji kama sikosei alikuwa amesimama goba au mbezi Luis 25 km from CBD proof ilo jengo lefu liko mawasiliano 20 km from CBD
Wacha kujitoa ufahamu bro..mahali km ni pabaya ni pabaya tu...hta ikapigwa picha kw ukaribu kiasi gani..

Cheki hapo chini..picha ya keanza inaonyesha cbd kw umbali na ya pili imepigwa tu kw ukaribu kiasi km sikosei...sasa tizama mwnywe....
Wacha kuwa kw denial km serikali yenu
tapatalk_1540120709408.jpeg
tapatalk_1540120714144.jpeg
 
Hivi k wa akili yako hiyo ni slum? Kweli

Ni nn...ni estates?au middle class area ya dar...ipe jina basi...

Tanzama hii picha imepigwa kw juu..mbna haikai km
tapatalk_1541962725282.jpeg

Hii
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg
 

Attachments

  • tapatalk_1544527078397.jpeg
    tapatalk_1544527078397.jpeg
    105.2 KB · Views: 24
Back
Top Bottom