COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Ata na Akili yako tiamu ya kuzaliwa..Lami ilijengwa 1950's inaeza kaa hadi sai...juzi tu serikali imemaliza kilomita 600 hadi moyale.Weka datas hapa wakati Muzungu anakabidhi nchi kwa Mkenya, aliacha kilometa ngapi za barabara kulinganisha na leo hii!