COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Ni utani mseeCollins nini mbaya,mbona unatusi watu?.
Ni utani mseeCollins nini mbaya,mbona unatusi watu?.
Hizo mnaita flyovers mlizochimbia na kujaza vifusi?BRT? Ever checked our roads mate? The new subway plans, new light rail plans?
😀😀😀 hahaha hizo statistics umetoa wapi ikulu kwa Kenyatta au???????? Hahahhahahaha pole sana baba tafuta data kamili zakisawasawa🙂🙂Interesting statistic, list of countries by vehicles per capita - Lubrita.com soma iyo link
Tanzania has 7 vehicles per 1000
Uganda has 8 vehicles per 1000
Kenya has 23 vehicles per 1000
ananifurahisha hata mim😀😀😀 hahaha hizo statistics umetoa wapi ikulu kwa Kenyatta au???????? Hahahhahahaha pole sana baba tafuta data kamili zakisawasawa🙂🙂
Wewe uliishiiwa😀😀😀 hahaha hizo statistics umetoa wapi ikulu kwa Kenyatta au???????? Hahahhahahaha pole sana baba tafuta data kamili zakisawasawa🙂🙂
Battle ni nyinyi mlianzishaTanzania ipo juu sana kwa majiji kuliko Kenya maanake Tanzania kuja Majiji kama Dar Es Salaam, Mbeya, Arusha, Tanga na Mwanza jiji lingine upcoming ni Dodoma makao makuu ya Serikali na Chama sasa Kenya wana majiji mangapi hadi waje hapa kufanya battle na Tanzania
Hahahahhaha huna picha zingine za kupost hahhahahahahahah
Tanzania ipo juu sana kwa majiji kuliko Kenya maanake Tanzania kuja Majiji kama Dar Es Salaam, Mbeya, Arusha, Tanga na Mwanza jiji lingine upcoming ni Dodoma makao makuu ya Serikali na Chama sasa Kenya wana majiji mangapi hadi waje hapa kufanya battle na Tanzania
Unijibu hizo data umetoa wapi maana naona hujui unachozungumza?????????😀😀😀😀😀😀Wewe uliishiiwa
Yajaribu alafu uyaone leta chakufananisha nayo alafu uone😀😀😀😀mbeya, Tanga nazo ni majiji???? Just on Paper......
Karen golf clubHahahahhaha huna picha zingine za kupost hahhahahahahahah
Wewe ulisha form ka adebayoUnijibu hizo data umetoa wapi maana naona hujui unachozungumza?????????😀😀😀😀😀😀