Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimetoa kwa website yetu. So latest
Basi izo data sio kweli kabsa,tuna mikoa 31 na mikoa 3 tu ndio lami imepigwa kwa vipande,mikoa iliobaki ambayo ni mikubwa yote iko connected, kama unaweza toka mtwara hadi bukoba kwa lami,sijui kama unaelewa namna tz ilivyokubwa lakini
 
Naelewa TZ ni kubwa but total paved roads ndio hizo. paved roads Africa si km nyingi, they are mostly the major roads. But hio ni data from your government's website, so we go by it for now. Lakini niko sure you guys are paving more roads
 
Yaah hadi 2020 trunk road zote zitakua paved

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Stacks of prisms, 34 floors ,brackets done!Now being embraced with glass facade...This Nairobi......yay!!!!!!!
18095871_1887084318203669_8926569992606973952_n.jpg

source
 
Naelewa TZ ni kubwa but total paved roads ndio hizo. paved roads Africa si km nyingi, they are mostly the major roads. But hio ni data from your government's website, so we go by it for now. Lakini niko sure you guys are paving more roads
Alafu unapoangalia mambo ya paved roads kwanza utambue tanzania ni nchi kubwa sana so usichukulie kua trunk road tanzania zitakua na sawa na Kenya kwenye kilometers na mambo kama hayo
 
Back
Top Bottom