El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Hio ni plan bro soma maelezo vzr na still munatafuta misaada na mikopo😂😂😂😂😂😂Kenya’s Roads 10,000 Programme: The Roads Annuity Fund and PPPs | MMAN ADVOCATES hio plan ilikuwa 2014 uhuru akilaunch soma hyo link sasa nipe link ya tz sasa nione plan yenu unaleta tweet leta link ya worldbank c tweet
Dar sasa Slum itauguza nani nyumba tatu za blue na moja yenye iko slum itatishia nani ..wewe ndio haulali 24/7 uko hapa na kama hauko hapa unasoma News ya Kenya
Hii ni kaliIn fact Old cbd ina buildings tatu pekee kwa..... Anniversary towers,view park towers na Nyayo house tower.......westy nayo imepigwa kwanzia delta towers hadi kwenye avic iko na bado haija cover upande church road kwenye le'mac,sanlaam,nova,Abc na zingine zikoView attachment 961936
We nawe umeishiwa vya kuposti,nenda kakate vitunguu..Lol.....elimisha kilaza mwenzio ichoboy hajitambui. Leteni highway kama hii kutoka bongo. RwandaView attachment 961412
We nawe umeishiwa vya kuposti,nenda kakate vitunguu..
Hio ni plan bro soma maelezo vzr na still munatafuta misaada na mikopo😂😂😂😂😂😂
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030 soma hyo poverty rate ya Kenya ujue uwachane na tweetHio ni plan bro soma maelezo vzr na still munatafuta misaada na mikopo😂😂😂😂😂😂
jaribu kufafanua haswa, ni kitu gani hicho wamekomaa nachowatu wa sumbawanga hawajaachaga tu.
Wewe unatuletea porojo za planHaya leta plan ya tz 10,000km roads tuone
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030 soma hyo poverty rate ya Kenya ujue uwachane na tweet
Acha povu we budaa, facts hii hapa: Top 10 Most Beautiful Cities In Africa | Africa FactsDar sasa Slum itauguza nani nyumba tatu za blue na moja yenye iko slum itatishia nani ..wewe ndio haulali 24/7 uko hapa na kama hauko hapa unasoma News ya Kenya
Kuna mwengine alijua tanzania hakuna magari mazuri ya polisi nimemyoosha mpaka kakimbia 😂😂😂😂😂Acha povu we budaa, facts hii hapa: Top 10 Most Beautiful Cities In Africa | Africa Facts
na mnajua ukweli kabisa ila mnajitoa ufahamu na ndio maana wengine tunakaa kimya coz hoja zenu kaa zimetoka kwenye vichwa vya mbuzi. mnaleta picha za kitambo tena bila sources na mnashupaa nazo kwelikweli, na sio mara ya kwanza tunawakumbusha kila mara mnarudia ubishi wenu uleule usio na mashiko. Saa zingine tunawaacha tu mpige kelele kwakua tunajua mtu anawakilishwa na mbuga as a capital city ni sawa na mnyama mwengine tu kama nyumbu, ngiri, nyani n.k na ntaendelea kuwafananisha na hao wanyama mpaka pale mtakapokua mnaleta facts na kuacha kushupalia uongo kaa kondoo anaepambana kupata njia kwenye ukuta
Dar yote 2018..yani slums tupuKila kitu kinaonekana hapo fala wewe inamaana huoni au👇👇👇👇👇
View attachment 961991
Hizo ndo facts tunazotaka: kama ilivyo Tanzania: OverviewHaya leta plan ya tz 10,000km roads tuone
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030 soma hyo poverty rate ya Kenya ujue uwachane na tweet
soma news yote ya kenya ,ukichoka ulaleEti enhhh ugua mos mos😂😂😂😂👏👏
Naona Equity bank hapo..congrats KenyansSoko kubwa la kisasa la mwanjela mbeya 👇👇👇👇👇👇
View attachment 962116View attachment 962117View attachment 962114View attachment 962113View attachment 962115
kwani huna macho huoni kama hizo ni slumsAcha povu we budaa, facts hii hapa: Top 10 Most Beautiful Cities In Africa | Africa Facts
na mnajua ukweli kabisa ila mnajitoa ufahamu na ndio maana wengine tunakaa kimya coz hoja zenu kaa zimetoka kwenye vichwa vya mbuzi. mnaleta picha za kitambo tena bila sources na mnashupaa nazo kwelikweli, na sio mara ya kwanza tunawakumbusha kila mara mnarudia ubishi wenu uleule usio na mashiko. Saa zingine tunawaacha tu mpige kelele kwakua tunajua mtu anawakilishwa na mbuga as a capital city ni sawa na mnyama mwengine tu kama nyumbu, ngiri, nyani n.k na ntaendelea kuwafananisha na hao wanyama mpaka pale mtakapokua mnaleta facts na kuacha kushupalia uongo kaa kondoo anaepambana kupata njia kwenye ukuta
😀😀😀Kuna mwengine alijua tanzania hakuna magari mazuri ya polisi nimemyoosha mpaka kakimbia 😂😂😂😂😂