Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unaniletea mambo ya plan kumbe ni plan

Below poverty line kenya ni 46% tanzania ni 23% hio good life inakuja wapi????
Mwanzo hii ndio huaga inakuchoma sana...hamtoweza...
Unemployment Tanzania 2%hhhhh!!
 
Ubinafsi na ukabila ni mambo amabyo yapo damuni kwao
Vp kuhusu vijana waufipa...najuwa wakiingi humu ndani mnaumbuliwa mpka mapovu..hhhh!!

Yani sijaona swala la nchi nzima alafu bado watu wako makundi mawili...nchi yenu inashida kwel...
 
Unakuja kujisifia ujinga hapa...unafkiria sonko amesaidia wangapi
haki wewe ni mjinga...sonko ni artist?. jinga kabisa wewe.

btw, politicians nao wa kujisifia?... unajua ni kiasi gani cha pesa ya public wanaiba serikalini?
 
Watamu ni tamu
8215449_l1_jpega9e6b0e02846b2343521e730f60f5289.jpeg
8215427_i9_jpeg544ea3bd35658ff67cd47985aa3ea258.jpeg

Amu ni tamu
8121381_shela10_jpeg3b1ce5d9d6e1b39094406efe92b30a83.jpeg
8121384_shela12_jpeg36fa649aafaffdd3e2687ad107ee8470.jpeg
7436972.jpg

Na mombacha n raha
pirate-beach.jpg
FB_IMG_15420960825171692.jpg
 
haki wewe ni mjinga...sonko ni artist?. jinga kabisa wewe.

btw, politicians nao wa kujisifia?... unajua ni kiasi gani cha pesa ya public wanaiba serikalini?
Swali uliuliza km ni celebrity gani..sasa nikuulize mi na wewe mjinga ni nani..au bado uko kw denial
 
Back
Top Bottom