ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
huna point leta link ya worldbank ktn huwa inameasure poverty rate ama tz azam tv huwa inameasure poverty rate leta link unataka niamini tweet unakichaa leta link kenya poverty rate ni 26% kama unalink ya imf ama worldbank inapinga hyo leta nione kama huna kimya
Nimekuuliza swali huna imani na KTN nijibu plz 😂😂😂😂😂
Na hawa pia huwaamini😂😂👇👇👇👇
Niletee official link kua kenya below poverty line 26%😀😀😀😀😀