Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Sure hawa jamaa wanalazimisha wenzao waonekane ovyo. Na ndio wanaoongoza kututangazia ubaya duniani kama yule reporter wao alienda kumleta reporter mzungu ili duniani tuonekane tuna matatizo wakati wao ni migogoro ya kikabila kila mara. Utakuata youtube na mitandao ya kijamii wakiandika ubaya kuhusu Tanzania. Trust me hakuna anaetufanya tuonekane hovyo duniani zaidi ya wakenya na Mungu si athmani bado sifa yetu haiharibiki. Sisi tungekua tunatengeneza takwimu na habari kuitangaza kenya kama wwanavotufanyia haki ya nani wangetia huruma. Ila nawaahidi wakenya kuwa hakuna jambo lisilokua na mwisho

Tanzania hatuna muda nao kwanza tunajenga nchi siku zote panapo ukweli uongo hujificha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kwani huna macho huoni kama hizo ni slumsView attachment 962137

According to this is slum๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
10C9CC42-0CB2-418F-BE19-92538B6137A7.jpeg
 
Wewe unatuletea porojo za plan

Kwan KTN ni ya tanzania???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Leta link ya worldbank ikionyesha poverty rate ya kenya 2018 acha kushift goal posts na ulete link ya tz ikijenga 10000km of roads ushawahi sikia KTN ikimeasure poverty rate leta worldbank link achana na tweet za KTN poverty rate ya tz ilipimiwa na KTN na tweets ilipimiwa na worldbank leta link ya worldbank
 
Ona ulivo mbuzi. Weka picha ya Nairobi itakayochukua eneo kubwa kwa wakati moja kama hii uone utakavyoabika. Ujinaga wako umefika hadi mawinguni
Buda unaeza jingonga na Boxer yako Fact ni mimi naona slums hapo karibu na nyumba ya blue
 
Leta link ya worldbank ikionyesha poverty rate ya kenya 2018 acha kushift goal posts na ulete link ya tz ikijenga 10000km of roads ushawahi sikia KTN ikimeasure poverty rate leta worldbank link achana na tweet za KTN poverty rate ya tz ilipimiwa na KTN na tweets ilipimiwa na worldbank leta link ya worldbank
So KTN sio ya kenya sawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Yani leo unanichesha sana so unakataa taarifa za KTN๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Tanzania hatuna muda nao kwanza tunajenga nchi siku zote panapo ukweli uongo hujificha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kabisa na tokea Magu aingie madarakani wamekua busy sana kuchonga na ndio maana wale waliositisha mchango wao kisa ishu za mashoga wakenya wakaja mbiombio kupost. Magufuli akisema pesa tunayo wanasema hamna utadhani wao ndio waweka hazina wetu
 
Mkenya ni mtu mwenye roho mbaya sana na siku zote hapendi kuona nchi yoyote afrika mashariki ikiinuka pamoja baada ya uhuru kujitenga na kuacha kusaidia nchi za africa walikua na opportunity ya kujenga nchi yao zaidi ya miaka 40 sasa waulize wamejenga nn utalia machozi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
So KTN sio ya kenya sawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Yani leo unanichesha sana so unakataa taarifa za KTN๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
huna point leta link ya worldbank ktn huwa inameasure poverty rate ama tz azam tv huwa inameasure poverty rate leta link unataka niamini tweet unakichaa leta link kenya poverty rate ni 26% kama unalink ya imf ama worldbank inapinga hyo leta nione kama huna kimya
 
Unaeza lia hadi kesho bro but hio ni ukweli hizoni slums ndio maana tunasemaga Dar is Slum

So Dar es Salaam ikawa Dar is slum ili ulazimishe kuwa ni slum, kweli wewe ni kichwa kibera. Nenda ukaishi mombasa angalau utaweza kuwa binaadamu
 
So Dar es Salaam ikawa Dar is slum ili ulazimishe kuwa ni slum, kweli wewe ni kichwa kibera. Nenda ukaishi mombasa angalau utaweza kuwa binaadamu
kojoa na ulale kaka utajinyinga bure kwa ukweli kua izo ni slums
 
Back
Top Bottom