Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In fact Old cbd ina buildings tatu pekee kwa..... Anniversary towers,view park towers na Nyayo house tower.......westy nayo imepigwa kwanzia delta towers hadi kwenye avic iko na bado haija cover upande church road kwenye le'mac,sanlaam,nova,Abc na zingine ziko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 961936

Kumbe CBD imo ndani 😂😂😂😂 so haina tofaut na hiii👇👇👇👇👇
E587A251-6C56-4B96-B856-430F292D5B51.jpeg
 
Ndio hio wameiona sasa.....lakini Nairobi ni kubwa budaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

696km sq ni kubwa kwa 1600km sq hahahahahahha 😂😂😂😂😂😂😂 wakenya munachekesha sana
 
Onesha slum hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] utafurahi na nafsi usifkiri mzungu mjinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ukipata slum hapo nitag na hapo angalia umbali wa picha ilipopigwa mpaka mawingu yanaonekana hahahhaView attachment 961875
Hawaoni kama zipo kwenye mstari hizo
 
Eti hii city ndio watu hutaka kulinganisha na Dar slum....na huo wakati old cbd ni kitu nusu hivi kwa hiyo picha, Kimani,Ngara, parklands na down town hazipo[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 961895
Bila kusahau hapo no wasty na upperhill ndio zinaonekana weka cbd,kilimani,ngara parklands etc
 
Ahahahha nairobi of 2018 sasa fananisha kutumia akili yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ukiskia kichwa kinauma hii hapa[emoji381][emoji381][emoji381][emoji381][emoji381]
View attachment 961905
Upperhill na nusu ya Westlands
tapatalk_1544374300924.jpeg
 
But nachoona na uppehill imo ndani na CBD imo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] one pic is enough
CBD haiko leta kicc ns times towers,teleposta etc alafu unitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila kusahau hapo no wasty na upperhill ndio zinaonekana weka cbd,kilimani,ngara parklands etc
Ndio maana tunawabia washindane na westy pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1539708020214.jpeg
tapatalk_1543436399910.jpeg
 
In fact Old cbd ina buildings tatu pekee kwa..... Anniversary towers,view park towers na Nyayo house tower.......westy nayo imepigwa kwanzia delta towers hadi kwenye avic iko na bado haija cover upande church road kwenye le'mac,sanlaam,nova,Abc na zingine ziko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 961936
Dada kilimani bado ,old cbd bado, parklands,ngara,haziko..upperhill ndio imeigia karibu yote...
 
Back
Top Bottom