Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One pic is enough kwisha nairobi kama ni mwili basi uko uchi usinililie mimi mlilie aliepiga picha hiiView attachment 961859
All of dar..kariako , posta, kijitonyama etc
tapatalk_1544349048518.jpeg
 
Nioneshe kariakoo nioneshe upanga nioneahe kijitonyama nioneshe ilala nioneshe magomeni nioneshe mbezi beach nioneshe masaki na oyesterbay nioneshe mikocheni ukipata tu nitag nasubiria
Nionyeshe kilimani ,hurligham,ngara ,kasarani,mombasa road,highrise,pangani kwanza kwa hio photo yako.uko na macho kariakoo iko hapo ndani
 
Haha nionyeshe parliament tower..yani umeshindwa hadi unaleta picha ya 1980...nairobi 1980 vs dar 2018 unaona tower mpya ya blue iko surrounded na slums..hahahhaahahajha1HaView attachment 961866

Onesha slum hapa😂😂😂👇👇👇 utafurahi na nafsi usifkiri mzungu mjinga😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇 ukipata slum hapo nitag na hapo angalia umbali wa picha ilipopigwa mpaka mawingu yanaonekana hahahha
C253B862-C3A0-4100-8DFD-DD646C0A9F87.jpeg
 
Nionyeshe kilimani ,hurligham,ngara ,kasarani,mombasa road,highrise,pangani kwanza kwa hio photo yako.uko na macho kariakoo iko hapo ndani
😂😂😂😂😂 utaziona hapa kwa urefu gani wa jengo???? Kama utanionesha kua kuna jengo hapo CBD halionekani niambie👇👇👇👇👇
8108D27D-F3C1-4621-AFAC-ED44C7727130.jpeg
 
Eti hii city ndio watu hutaka kulinganisha na Dar slum....na huo wakati old cbd ni kitu nusu hivi kwa hiyo picha, Kimani,Ngara, parklands na down town hazipoView attachment 961895

One pic is enough for nairobi usinililie mm mlilie aliepiga picha hii😂😂😂👇👇👇👇 huenda camera yake ilikua kubwa sana😆😆😆😆😆😆
F10757AD-4115-4960-A5F1-F8272B431B8B.jpeg
 
1980 photo hug trasformer kama inakuuma..Dar 2018 december 9th..yani nyumba ya blue iko slums katikatiView attachment 961889

Ahahahha nairobi of 2018 sasa fananisha kutumia akili yako 😂😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ukiskia kichwa kinauma hii hapa💊💊💊💊💊
D5D48725-5FD0-4932-8118-17A0E28B5827.jpeg
 
Back
Top Bottom