Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mikocheni A
mikocheni-1.jpg
MSASANI-4.jpg
msasani-3-1.jpg
msasani-2.jpg
 
Sijui 2020 itakuaje dah😂😂😂😂
1) modern electric bullet train in africa
2) modern terminal building in east and central africa, termina 3
3) expansion dar es salaam port will be complete
4) BRT phase 2 more than 20km
5) ubungo interchange baba yao
6) stiglers gorge biggest dam in east africa 2b usd with capacity of 2100MW
7) kinyerezi 3 with capacity of 400MW
8) morogoro highway 16km
9) new salender bridge with interchanges 7km

Etc 👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Project zote hizo nilizotaja ziko under construction
Kumbuka hiyo 2 Phase BRT itakuwa na flyover mbili tofauti😂😂😂🤣🤣 Hapo bado phase 3 na 4 ambayo world bank ipo tiyali kulipia😂😂😂
 
Usilie basi zipo nyingi mno hadi za watalii wakishangaa mazingira bomba ya kibera,mathare etc
Alafu urudie hzo hzo ukionyesha kibera...hzo picha tumeshazizowea...naona we mgeni nazo labda...
 
Back
Top Bottom