Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Unamwandama huya dada sana.hahahaha... hahaha...unanivunja mbavu ujue.
sanaHii ndio the most modern an beautiful mosque in east africa👇👇👇👇 Edward Wanjala
Anaebisha aseme plz😀😀😀😀
View attachment 957409View attachment 957384View attachment 957385View attachment 957386View attachment 957387
Tuonueshe hiyo headquarter😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂. Iwe ya China government😂😂😁😂Headquarters ya ma chinese ya Africa ndio inajengwa Westlands.so any operations in tz must be signed in westie
hahahaha... hahaha...unanivunja mbavu ujue.
Unawapa kiwewe😂😂😂
Mbna hyo barabara ya jnia inakaa ki skwembe hvo
Si ilala tena hapo...yani hawa wasee..

Wah!!eti below poverty tz ni 23%...Hahahhaa nilikuletea official source hapa below poverty line in kenya 46% and tanzania 23% ukakumbia leo hii umerudia tenaukiniletea ushahidi wa google earth kua dar kuna slums nafunga account jamii forum
View attachment 957287

Huaga unaumia ukiletewa hali halisi ya kijiko ya nyama
😂😂😂😂 yani hawatu ni wajinga sanaTuonueshe hiyo headquarter😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂. Iwe ya China government😂😂😁😂
Muache ajidanganye....si unajuw wako kw denialStop jumping from one tree to other like a monkey in its optimum stage of life, tackle one issue at a time. The last time I also checked Tz had 30ml citizens below PL while Kenya had 17ml.
Ilala hii hapa usichanganyikiwe😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇Si ilala tena hapo...yani hawa wasee..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unabisha au hutaki😂😂😂😂Wah!!eti below poverty tz ni 23%...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
10yrs ago..kwhyo hko nyuma mlikuwa mnaishi msituni.au unamaanisha developments za towee na brt....Na ukumbuke developments in tanzania zimeanza just like 10 yrs ago usisahau hio nyie mliokua ma opportunity of 40yrs bado mumefika wapi????
40yrs mliokua wabinafsi mukaanza kujenga nchi mumejenga nini????![]()

Bila shaka umepaniki😂😂😂😂Huaga unaumia ukiletewa hali halisi ya kijiko ya nyama
Kasome history alaf uje tuendelee 😂😂😂😂😂😂😂10yrs ago..kwhyo hko nyuma mlikuwa mnaishi msituni.au unamaanisha developments za towee na brt....![]()
![]()
![]()
![]()
Tz ilikua bzy kutumia nguvu yake na mali zake kuhakikisha nchi zingine zinapta uhuru ndio maana hata maendeleo yalivhelewa sana soma history ujue mwalim nyerere hakuwa mchoyo na hakua mbinafsi nyie mlivopata uhuru hamkuangalia wenzenu kwasababu ya ubinafsi mukaanza kujenga nchi sasa najiuliza 40yrs of developments zikwapi hzo developmets![]()
watu wa historia hao...Santa sana...unampinga mzuri na unakubali vitu vyake...mkenya akiongea kizungu unaumwa...mzungu akitoa source ya kwamba dar is a slum city mnapinga...sasa mnataka nn