Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usisahau kurasini interchangeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Serikali haitakuwA inawaruhusu waje wakati wa likizo kuwafunza kiingereza. It's either you people are dunderheads or they don't know how to teach
Ni kweli ila chakufurahisha msipate tabu hata hatutaki kufundishwa ,,,pambaneni na hali zenu.....
Tunafurahia kiswahili ipasavyo....na kinatutosha[emoji116]
 
Hivi ile ndege yao inayoenda moja kwa moja mpaka mamtoni bado ipo?
wakenya hawawezi kukujibu kwasababu jibu kuhusu huo mradi si zuri.
lingekuwa ni jibu zuri haraka sana wangekujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…