Hebu nieleze hapo ni wapi na wapi😂😂😂upanga haipo, kariakoo haipo, kijitonyama haipo ilala haipo hahahahahaha😂😂😂 hushangai one pic nairobi kwisha👇👇👇👇👇👇👇👇 nilivoina hii pic nikicheka sana alaf mtu anapoteza muda wake kushindana na dar😁😁😁Hii hapa dar yote kea picha moja bila ubishikijiji cha kuvua samaki no kidogo sanaView attachment 953509
Leta official source my friend 😂😂😂 usiniletee bla bla mm nilikwambia siku ukiskia tanzania ina njaa siku hio wakenya mutakua mushakufa😁😁😁Ichoboy, do you see Kenya anywhere?View attachment 953588View attachment 953590
Hio ni official source tuma link hapaIchoboy,hiyo ni nini? Am I the one who made that?
Pengine hata hujasosi Leo. Lol
Leta link hapa wacha blabla leta link nikunyooshe hapa😂😂😂😂Lol.eti link tena? Si umesema hiyo ni official source?Ukileta udaku wa twitter humu,nani hukuitisha link?
Au lipiza na post za twitter basi ufute machozi...hutoitishwa linkLeta link hapa wacha blabla leta link nikunyooshe hapa![]()
Si juzi tu mlizikaUmeshasikia ADF wakishambulia Coma na North Kivu?, wamekimbilia Beni ambako hakuna TPDF, waulize kilichowakuta baada ya kuuwa wana jeshi wa TPDF, hatucheki sisi, ni kazi tu.
Msaidie kuleta link heheheh kaombwa link kakimbia sasa msaidie wewe😂😂😂😂😂Au lipiza na post za twitter basi ufute machozi...hutoitishwa link
Hili bado kijanaCrawford Business ParkView attachment 953130View attachment 953131
Tafuta nyumba ya kuzima it plaza acha utaniNairobi kwa design na modernity ni habari nyingine.....Good man towerView attachment 953247