Current towers over 30 flr in both cities.....(Nairobi)Avic 6 towers,Britam ,Uap ,prisim , Times tower......Dar) Tpa,pspf 2,Rita,Ppf,Mzizima 2,Mnf 1
Utalia sana na kijitonyama😂😂😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇👇👇👇Barala ya kuchafua servers mbina usiwekee hii moja ambayo inamalizia kila kituView attachment 953377
Hahahaha zilipigwa bomu au?????😂😂😂😂😂😂😂 yani majengo yenu hua yanachekesha sanaOne hit onlyView attachment 953418
Hapa waliuziwa mbuzi kwa ngunia




ATI cbd




Kijitonyama utalia nayo mpaka yesu ashuke😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇
Huku ukishangaa one pic is enough😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇 hahha alaf tuambieni CBD😁😁😁Hapa waliuziwa mbuzi kwa ngunia![]()
Hio ni BRT?????😂😂😂😂 au ni tour bus yakawaida tu😁😁😁😁 kwenye modern bus kwa tanzania usisubutu nakuonyaSiku utaniletea kitu kama hii unitagView attachment 953483View attachment 953484View attachment 953485
Hii hapa dar yote kea picha moja bila ubishi




kijiji cha kuvua samaki no kidogo sana