Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo hayo hayaendi kimhemko na kukurupuka nyie pambaneni na hali zenu,hao wanaotwa al shabaaaab mujahedeen allah akbaaaar...
Once ukianzisha ugomvi nao haushi leo..
Basi tulizeni mshono...ndo manake congo mmapigwa tu kila kuchao kw sifa za kijinga...we wachezea waasi...
Eti mliikomboa africa...toeni al_shabab na boko haram..mnafikiria hawa jamaa hutumia mapanga eee!!nadhani mziki wa ADF kw sasa mnausikizia
 
My friend, Do u know Alshabaab are funded by the best US Allie Nation ?
USA sent you to fight His terror group so they’ll sell you 2nd hand overpriced weapons and destabilize Somalia.
Nawe unajuwa km jwtz ni wakombozi wa africa...leteni wawafyeke ndani ya masaa manne tu...alafu muendelee kuongeza historia ya kuikomboa africa
 
Hahahahahahaha. Tulishamaliza kazi, jeshi letu ni kwa ajili ya ukombozi, sio kupigana hovyo bila sababu za misingi, mlipaswa kuliweka jeshi lenu mpakani na Somalia ili kudhibiti Alshabab wasivuke kuingia Kenya, sio kuingia Somalia without a winning plan, ona mnavyouliwa na Alshabab.
Wakombozi wa africa wako wapi tpdf waje wawafyekelee hawa jamaa basi...ama hamtaki historia...

Vp mziki wa ADF..mnausikiziaje..naona wananchi wakilalama ya kwamba majeshi warudishwe nyumbani..nyambafu
 
Makumbusho earlier today
20181128_121452.jpeg
20181128_121518.jpeg
20181128_121552.jpeg
 
Umeshasikia ADF wakishambulia Coma na North Kivu?, wamekimbilia Beni ambako hakuna TPDF, waulize kilichowakuta baada ya kuuwa wana jeshi wa TPDF, hatucheki sisi, ni kazi tu.
Wakombozi wa africa wako wapi tpdf waje wawafyekelee hawa jamaa basi...ama hamtaki historia...

Vp mziki wa ADF..mnausikiziaje..naona wananchi wakilalama ya kwamba majeshi warudishwe nyumbani..nyambafu
 
Back
Top Bottom