Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi kwa design na modernity ni habari nyingine.....Good man tower
awU9c9t.jpeg
 
You cant be serious, concrete hilo full matofali old fashioned building ndio unataka kuifananisha na al hatmy, hebu ongea vya maana kijana.
Afadhali ungesoma post yangu ya hapo mbeleni ungeelewa nilichomaanisha
 
Dr ndii uko wapi ama kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni👏👏👏👏👏👏👏👏👏👇👇👇👇👇👇

 
Hiyo sio render?...jinga wewe
Sio render au sio😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👇👇👇👇👇👇 munatamani kuhamisha kutoka kwenye picha nakubandika sehemu husika wakat render ziliostack 5yrs inakwenda mumekaaa kimya
Proposed na hamujengi????😂😂😂😂 wapi pinacle?? Wapi montave?? Wapi tatu city??? Wapi konza??? Wapi nairobi 88???

Kwa jpm mutapata tabu sana
A37A653A-14C3-4D50-A4D4-D720332971D7.jpeg
7CAD6885-3AD0-4D05-9712-2969C970B9CA.jpeg
 
Sio render au sio munatamani kuhamisha kutoka kwenye picha nakubandika sehemu husika wakat render ziliostack 5yrs inakwenda mumekaaa kimya
Proposed na hamujengi???? wapi pinacle?? Wapi montave?? Wapi tatu city??? Wapi konza??? Wapi nairobi 88???

Kwa jpm mutapata tabu sanaView attachment 953330View attachment 953331
Hii ni Nairobi na wala sio hako katown kenu......ndio hiyo execution inaendelea na washaweka render kwa project ya 88 Nairobi
tapatalk_1543754382773.jpeg
tapatalk_1543328216494.jpeg
 
Basi tulizeni mshono...ndo manake congo mmapigwa tu kila kuchao kw sifa za kijinga...we wachezea waasi...
Eti mliikomboa africa...toeni al_shabab na boko haram..mnafikiria hawa jamaa hutumia mapanga eee!!nadhani mziki wa ADF kw sasa mnausikizia
Wanaitwa mujahedeen allah akbar...!!
 
Back
Top Bottom