Hii ni Nairobi na wala sio hako katown kenu......ndio hiyo execution inaendelea na washaweka render kwa project ya 88 NairobiView attachment 953335View attachment 953337
Wewe Kula nyingine wacha utotoHata pinnacle na montave zilikua hvo hvo mulibandika mabango leo zikwapi??? Pinnacle imebakia shimo la mavi ya binaadamu, ndio maana nakwambi hio bado ni render[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Thanks for renders hehehhe kwa renders tu hamujambo😂😂😂😂😂😂Wewe Kula nyingine wacha utotoView attachment 953343View attachment 953344
Siku Dar slum itapata tower proposed kuanzia sasa hadi 2030 unitagThanks for renders hehehhe kwa renders tu hamujambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoma imekua ngumu kila project mukitaka kuanza pesa hakuna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiwa na proposed lazma uwe na pesa ya kujenga vinginevo utaishia kula ugali na picha ya samaki😂😂😂😂😂😂Siku Dar slum itapata tower proposed kuanzia sasa hadi 2030 unitag
Ikifika hapo sisi nadhani tutakua na zaidi ya fifty kama hizo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 953350View attachment 953352View attachment 953353View attachment 953354
Nyinyi mlijenga tower tatu pesa ikaisha sasa tazameni muone mambo yanavyo endaUkiwa na proposed lazma uwe na pesa ya kujenga vinginevo utaishia kula ugali na picha ya samaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaahh mfugale,hii ndo flyover bwana sio kama kile kitakataka cha Nakuru,jamaa wameweka huku tofali na kule tofali halafu imeisha eti flyover shiiitTazara flyover👏👏👏👇👇👇
View attachment 952810
Barala ya kuchafua servers mbina usiwekee hii moja ambayo inamalizia kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]huku unaumia kimya kimya
View attachment 953310View attachment 953311View attachment 953312View attachment 953313View attachment 953314
Sasa mbona over 30 na over 20 munakimbia heheheh 😂😂😂😂😂Nyinyi mlijenga tower tatu pesa ikaisha sasa tazameni muone mambo yanavyo enda
Aaahh mfugale,hii ndo flyover bwana sio kama kile kitakataka cha Nakuru,jamaa wameweka huku tofali na kule tofali halafu imeisha eti flyover shiiit
Hawan pesa ya kujenga wamebakia kubadilisha majina ya projects kutoka hass kwenda pinnacle😂😂😂😂😂hiv imefikia wapi hii ishu? waliipigia kelele sana hii 🤣🤣🤣