sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Dar is slum hii hapaTuliwahi kusema NBO hakuna interchange wakasema oooh unajua imepanda ikashuka hehe
Dar is slum hii hapaTuliwahi kusema NBO hakuna interchange wakasema oooh unajua imepanda ikashuka hehe
CBD number three [emoji41]
Makumbusho slum[emoji16][emoji16]
Yaani kasehemu/eneo la kilometre moja na majengo kama kumi Lina majina kumi....mwanyamala,makumbusho, Morocco,kijitonyama....bla bla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo vitukoWeka mambo ...hapo tutakua tumeua tembo kwa bua
Kua mpole kijanaYaani kilometres 2 ya na majengo kama kumi Lina majina kumi....mwanyamala,makumbusho, Morocco,kijitonyama....bla bla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo vituko
View attachment 952962
Ubungo interchange itawafunza kituDar is slum hii hapaView attachment 952938
Ita!!!!!..….[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Ubungo interchange itawafunza kitu
Ngoja tuwaachie kwanza😂😂😂Wabongo tutulie kidogo,hawa mungiki wasije kususa tena km jana,tuwaachie kwanza waondoe hang over ya chang'aa ya kibera
Wabongo tutulie kidogo,hawa mungiki wasije kususa tena km jana,tuwaachie kwanza waondoe hang over ya chang'aa ya kibera