TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Vizuri sana unapoint hapo lkni huu mwaka hatujapokea msaada wa chakula halafu angalia global hunger index 2018 uone nani ako na njaa zaidi Kati ya kenya na tzHakuna kitu kinachodhalilisha utu wa binadamu au heshima ya nchi, kama kukosa chakula Mara kwa Mara hadi kulazimika kupewa msaada. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake 1963, haijawahi kujitosheleza kwa chakula, kumekua na kubadilika kutoka mwaka hadi mwaka, ikitokea mwaka huu kuna chakula, mwaka unaofuata lazima mtahitaji chakula cha msaada.