Ni sawa mko na high life kuliko Tz,je wale wananchi waturkana na maeneo mengi tu ya kenya kulingana na takwimu ulizoziunda kichwani unadhani umaskini wao unalingana na madkini wa mwisho aliye Tz..?So hii ndiyo good life ya wananchi mlio kenya inayowafanya muipite Tz,,,,seriously[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]au hiko kiwango kidogo cha maisha mazuri yaliyopo nairobi ndiyo hutakwimu kenya nzima...kuwa huwa mnamaisha mazuri kuliko Tz,,,?
Zunguka Tz nzima haukutani na kundi kubwa la wananchi wenye shida na dhiki kama mliopo kenya
Be serious boy...
HII NDIYO QUALITY N BETYER LIFE OF LIVING IN KENYA!!!!![emoji6][emoji9]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 946463View attachment 946464View attachment 946467View attachment 946468View attachment 946470View attachment 946471