Mzae Lala joh kenya isikusumbue akili sanaWe are not here to satisfy your ego. World Bank ni mamlaka ya mwisho kutangaza data za nchi zote.
Overview
Mzae Lala joh kenya isikusumbue akili sanaWe are not here to satisfy your ego. World Bank ni mamlaka ya mwisho kutangaza data za nchi zote.
Overview
Hahahaha, Jubilee tano tenaPPP haitumiki kumeasure a country development ni hdi inatumika india has high ppp kuliko usa india imeshinda usa na nn??? tulia wacha pupa

Even kenya has experienced poverty reductions what is your point???Kama utakataa hii kutoka worldbank.org Overview
utakua huna tofauti na kondoo na wachina watakufanya supu
View attachment 946131
Hahahaha tuendelee ama mnafikiri tz pekee ndio inaimarika kenya pia inakuwa kwa kasi za ajabuHahahaha, Jubilee tano tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni kweli, Kenya imepunguza umasikini toka 43% hadi 36.7%. Tanzania imepunguza kwa kiwango kidogo, toka 28.2% mpaka 26.9%. Hongereni majirani kwa kupunguza zaidi ya units 6.Even kenya has experienced poverty reductions what is your point???
I am giving them the actual parameters na wanajitia hamnazo.......all along wanakuwa measured by LDC standards na wanatupigia kelele and in development studies people are taught that poverty is relative and indexes vary by a country's liviñg standards.....that's why kenya and USA can't use the same poverty levels.Even kenya has experienced poverty reductions what is your point???
Lets look behind these figures.........what was the actual figure used to set the poverty levels?......I am sure they aren't the sameNi kweli, Kenya imepunguza umasikini toka 43% hadi 36.7%. Tanzania imepunguza kwa kiwango kidogo, toka 28.2% mpaka 26.9%. Hongereni majirani kwa kupunguza zaidi ya units 6.
Huwa hawataki ukweli vtu zna wafavour ndio wanapost wanataka waiponde kenya sisi tukae tu tuwaangalie we must defend our country against malicious lies and rumoursWhat Tanzanians are avoiding is measuring poverty index against what?.......
Mbona kenya is being measured at 92.89 while Tanzania is being measured at 54 bob.......mnaogopa analysis mbona....mmmhh
OverviewI am giving them the actual parameters na wanajitia hamnazo.......all along wanakuwa measured by LDC standards na wanatupigia kelele and in development standards people are taught that poverty is relative and indexes vary by a country's liviñg standards.....that's why kenya and USA can't use the same poverty levels.
Kujeni somalia...nadhani mda wa masaa manne tu mtwamaliZaKDF hua wanakojolewa na alshabab![]()
Ku pimp gari hvo mwanzo ni tsh million ngapiInterior upuuzi mtupi gari body zimechoka kweli kunguni wataacha kuzaliana humo ndani na bahat mbaya zaidi hua munavaa suti wakati wa joto sijui panakuaje humo![]()

OverviewLets look behind these figures.........what was the actual figure used to set the poverty levels?......I am sure they aren't the same
I give them three days to go and do their homework.......umeona rate ikiwa level at 1.90$ 70 % of their population inazama...lol.Huwa hawataki ukweli vtu zna wafavour ndio wanapost wanataka waiponde kenya sisi tukae tu tuwaangalie we must defend our country against malicious lies and rumours
Wako hivyo wanaogopa ukweli ukitumia standards za Tanzania kenya poverty level ya kenya itakuwa less than 10% ukitumia za kenya Tanzania poverty level yao itakuwa 80% kenya ni middle income tz ni LDCI am giving them the actual parameters na wanajitia hamnazo.......all along wanakuwa measured by LDC standards na wanatupigia kelele and in development studies people are taught that poverty is relative and indexes vary by a country's liviñg standards.....that's why kenya and USA can't use the same poverty levels.
No answer my question stop beating around the bush. Najua hii topic itatokomea after today's embarrassment. Go bring data ya population living below $1.90 dollars a day from any source hata ya ccm uone aibu....Overview
Soma hii report yote kwa makini, acha kulimbikiza ujinga wewe
Mbona ninyi hamkuja kusini mwa Africa wakati tukipigana na Makaburu?. Acha tujenge uchumi wetu, sasa hivi ni zamu yenu na ninyi kupigana. Ninyi mlienda Somalia kulinda mipaka yenu, sisi tuje kufanya nini?Kujeni somalia...nadhani mda wa masaa manne tu mtwamaliZa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Vijana wa mapanga aisee
Leta aerial view ya stone town tuone hapa hyo dubaiRated by local au sio kazi yenu nyinyi ni local ratings kila kitu kwenu ni magumashi hata chakula cha binaadamu pia magumashihotels wala sikupeleki dar kwasababu sio level yako nakupa zanzibar ikutoe makamasi kusanya mombasa, malindi, lamu na upuuzi wote mm nikuletee zanzibar pekee alaf tuone kama utatoka humu ndani
Waziri wenu balala alitubu zanzibar alijua yuko dubai![]()
Tukiwekewa hiyo level ya 54 bob si hapo kila mkenya atapita vizuri sana.....nowonder wamejaza kenya na mabakuli oh saidia saidia bullshit....nkt. mbona hao beggars wasiombe huko Tanzania.....Wako hivyo wanaogopa ukweli ukitumia standards za Tanzania kenya poverty level ya kenya itakuwa less than 10% ukitumia za kenya Tanzania poverty level yao itakuwa 80% kenya ni middle income tz ni LDC