Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jenerose hajawahi andika kitu cha maana. Muda wote ni distraction na derailing. Umempa comptetive advantage waliokuwa nayo kwa more than 50 yrs bado haelewi . Politic za nvhi yake regional na kimataifa inaonekana hajui. Hajui kwa nini yupo alipo. Nalog off.
Bado ni mtoto mdogo sana, acha tumlee hadi atakomaa.
 
Huyo mnapata naye tabu tu haeleweki,,,,,huyo ni kilaza hana hoja......

Hapo ni kusumbuka tu
tatizo unaangalia kwa jicho la kawaida. Sovereignity ya nchi yenu iko wapi? They contorl you now. Watafanya nchi yenu kuwa dumping ground ya goods zao, Wataleta more chinese citizens kufanya kazi kenya, halafu nyie mnafaidika na nini?
 
Ambi
Huyo mtaenda naye kama mtoto maana hatoi hoja kwa evidence ni maneno tu,,,unaambiwa ukibishana na chizi ni shida....
Ambia ndugu yako pia alete penye kenya iMepokea msaada was chakula 2018 chizi ni ww na ukoo wako kenya has high quality of life than tz
 
Wakati wa cold war, hata kama tungechimba hizo minerals, tungeuza wapi?, kumbuka wanunuzi wakubwa walikua ni western countries ambazo hazikutaka kufanya biashara na socialists countries, hata machines za kuchimba madini, technology na kila kitu hatukupata.

Kumbuka madini mengi ndio yanagundulika hivi sasa ndio sababu unaona kasi ya uchumi wetu inakwenda Mara mbili zaidi ya Kenya.
Tz ishawahi kuwa under sanctions kweli ama unanichocha tu
 
Right now I am working and preparing for my proposal defence......I will come back later in the evening to deconstruct these LDC tanganyika nyangaus for good.
 
Back
Top Bottom