Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Population c KTU ndugu yangu population is a resource when used well so population is not an excuse kuna nchi kama swaziland ina population ndogo lkini ni maskni wa kutupwa usisahau kuwa 70% ya botswana ni desert

Mambo ni mengi yanachangia nchi kuwa masikini au tajiri,botswana inapatia kwenye almasi,naigeria si wingi wa watu bali mauzo ya mafuta.
 
Mambo ni mengi yanachangia nchi kuwa masikini au tajiri,botswana inapatia kwenye almasi,naigeria si wingi wa watu bali mauzo ya mafuta.
Hayo mauzo hayamunufaishi asiye mwanahisa moja kwa moja zaidi ya kodi na ajira. Ndilo linatokea kwa jirani wana makampuni makubwa mauzo makubwa ya nje ila hawana ufaidi wa moja kwa moja.
 
GDP is not used to determine a country development gdp only determines the size of the economy china has a high gdp than britain germany france switzerland but it is not developed like those countries those countries have high quality of life than china even botswana beats china in quality of life and gdp per capita china has $8400 ya botswana ni $16900

Mkuu hii ni dhana tu,wananchi wa botswana unajua wanaishije wewe!!!!

Hiyo HDI ya inchi inapatikanaje kama GDP haihusiki na maendeleo ya watu????
 
current situation of the tanzania electric sgr.

tunamkimbiza mwizi kimyakimya... hatupigi makelele ila namba wanaisoma.
viva tanzania.. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
tapatalk_1543059373589.jpeg
tapatalk_1543059376116.jpeg
tapatalk_1543059378582.jpeg
tapatalk_1543059381323.jpeg
 
ndio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!
Nigeria shida tu......kiuchumi mafuta wanayatumia vizuri sana ila ile population yao nalo neno....
 
Kwa mahesabu ya kugawanya 22$bln kwa watu 2mill,na kugawanya 85$bln kwa watu 50mln uko sawa.ila field hali ni tofauti.

Embu nipe no za millionaires in both countries[emoji38][emoji38][emoji38]
Kenya has around 9800 Botswana around 2800 millionaires cko sure na figures unaweza nielimisha hapo
 
Mkuu hii ni dhana tu,wananchi wa botswana unajua wanaishije wewe!!!!

Hiyo HDI ya inchi inapatikanaje kama GDP haihusiki na maendeleo ya watu????
Wananchi utajua wanaishi vizuri wakiwa na basic needs kama maji kama healthcare kama education kama proper housing hyo yote wananchi was Botswana wanayo
 
Mambo ni mengi yanachangia nchi kuwa masikini au tajiri,botswana inapatia kwenye almasi,naigeria si wingi wa watu bali mauzo ya mafuta.
Nigeria is a case of human tragedy mafuta yao yote yanamilikiwa na shell companies Tanzania pia INA wingi wa madini inafaa ikuwe hyo level Botswana by now
 
Nigeria shida tu......kiuchumi mafuta wanayatumia vizuri sana ila ile population yao nalo neno....
Hapana Nigeria haitumii mafuta vizuri mnawezaje kuwa na mafuta na hamna oil refineries mnapeleka mafuta nje yaoshwe halafu mnaimport tena population kubwa c mbaya ukitumia vizuri utavuna matunda ukitumia vibaya inakuwa liability
 
Back
Top Bottom