TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Hapo kwa quality of life mulisaa you are very right Kenya iko mbele yenu na mbali sanaKwenye quality ya maisha usigusie😂😂😂
Hapo kwa quality of life mulisaa you are very right Kenya iko mbele yenu na mbali sanaKwenye quality ya maisha usigusie😂😂😂
Wenzio walikiri. You keep denying everything but the world knows the truth. If you go to the rural areas in Kenya, there is no home without a latrine.The one who ranked tz among the unhygienic countries was not a fool.
Alaf baadae munakufa hvi👇👇👇👇
Sio mambo yakucheka lakini yanauma sanaMelisaaa 😂😂😂This shows that kuna chakula Kenya. People are not starving like the people in northern Tanzania.
Wapi ichoboy acha sifa za bure kwani Tanzania imeshinda Kenya na nn Kenya pia inakuwa unafikiri imesimama imengojea magufuliTanzania itakunyima raha sana kwa sasa mupambane na hali zenu ila kushindana na tanzania kwa sasa nisawa na kukimbiza kivuli chako😂😂😂😂😂
Janerose hivi huwa uko na kazi??Kilaza ichoboy,ulijua maana ya GDP?
Sawa nakuona ukiwa unatafuta mboga yakulia ugali.Hapo kwa quality of life mulisaa you are very right Kenya iko mbele yenu na mbali sana
Sio mambo yakucheka lakini yanauma sana
Ni mwalimu wa kiswahili shule ya msingi apo nairobi mshahara wake hauifiki $200Janerose hivi huwa uko na kazi??
Because mtu akitoka JF for some few days unajua ametoka akiludi unajua. Nika Nai nataka nione how you keep your daily routine.Mbona unauliza?
Sawa nakuona ukiwa unatafuta mboga yakulia ugali.View attachment 944785[
Ni sehemu za lunch ntashiba sana asante kwa ugaliSawa nakuona ukiwa unatafuta mboga yakulia ugali.View attachment 944785
Sema anatupenda sana wa TZ. Nataka nije nimuingize ndani ya box. Nimpige na mimba juu.😂😂😂Nataka atulie.Ni mwalimu wa kiswahili shule ya msingi apo nairobi mshahara wake hauifiki $200
Haha doohSema anatupenda sana wa TZ. Nataka nije nimuingize ndani ya box. Nimpige na mimba juu.[emoji23][emoji23][emoji23]Nataka atulie.
Kigoma kwenye mawese na sehemu kubwa ni ziwa tanganyikaMpakani mwa Burundi na Tanzania ni wapi?I guess it is Western.
Dadavua mkuu ueleweke,sio kusema tu kuwa botswana iko juu kuliko tanzania.kw lipi?.botswana inakilomita ngapi za lami?watswane,wakaranga.na wabangwene.wanatumia dola ngapi kw siku? Je pato la mji wao ghabarrone ni pula ngapi kw mwaka,ambazo ni sawa na dola ngapi.??!! Je huduma za afya wanazipata kw umbali gn?je umri wa kuishi kw mswane ni wastani wa miaka ngapi? Majibu ya hayo maswali ndio yatakupa majibu ya nchi gn ipo juu.usipende kusema tu na kubwabwaja bira hata maelezo kidogo ukiachilia mbali ushahidi.Wacha tuanze hapo sasa botswana na namibia wameshinda tz kla ktu kuanzia kwa infrastructure kwa education healthcare kla ktu isipokuwa population wanamadini kama nyinyi walitumia kujijenga sio kama nyinyi na niliambia ichoboy awaelimishe mnajiabisha ya bure hapa hamfiki botswana kwa lolote hata south africa haifiki botswana
Daaah mpenzi! Mbona unakasilika hivyo??Ndio maana wewe na binti yako kadada kajinga mliunganisha dots mkasema mie ni kahaba. Sifa za kahaba ni gani melisaaa?
Hiyo topic ameikimbia mwenyewe. Tumempa facts somo likamuingia😂😂😂Dadavua mkuu ueleweke,sio kusema tu kuwa botswana iko juu kuliko tanzania.kw lipi?.botswana inakilomita ngapi za lami?watswane,wakaranga.na wabangwene.wanatumia dola ngapi kw siku? Je pato la mji wao ghabarrone ni pula ngapi kw mwaka,ambazo ni sawa na dola ngapi.??!! Je huduma za afya wanazipata kw umbali gn?je umri wa kuishi kw mswane ni wastani wa miaka ngapi? Majibu ya hayo maswali ndio yatakupa majibu ya nchi gn ipo juu.usipende kusema tu na kubwabwaja bira hata maelezo kidogo ukiachilia mbali ushahidi.
Dadavua mkuu ueleweke,sio kusema tu kuwa botswana iko juu kuliko tanzania.kw lipi?.botswana inakilomita ngapi za lami?watswane,wakaranga.na wabangwene.wanatumia dola ngapi kw siku? Je pato la mji wao ghabarrone ni pula ngapi kw mwaka,ambazo ni sawa na dola ngapi.??!! Je huduma za afya wanazipata kw umbali gn?je umri wa kuishi kw mswane ni wastani wa miaka ngapi? Majibu ya hayo maswali ndio yatakupa majibu ya nchi gn ipo juu.usipende kusema tu na kubwabwaja bira hata maelezo kidogo ukiachilia mbali ushahidi.