Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mungesafirisha watu milion 10 lakini madamu hii kitu ipo basi mutasota sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Hyo c shida ichoboy biashara lazima ikuwe na profits na loss sgr itajengwa tu na mwaka ujao itaregister profit unicheke ikimake loss tena
 
Wapi ichoboy hii sgr ndio juzi ilifikisha wateja million mbili nadhani uliona hyo Kenya haijashindwa na deni deni tutalipa nilikuambia wakati utasikia China inataka kuchukua bandari ya Mombasa ama jkia uje unicheke SAA hii bdo Uhuru amechukua loan ingine ajenge expressway ya Nairobi to Mombasa so madeni tutalipa

Mutalipa wapi wakat IMF wamewaonya kuhusu madeni munaekea kwenye red line au hujuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hyo c shida ichoboy biashara lazima ikuwe na profits na loss sgr itajengwa tu na mwaka ujao itaregister profit unicheke ikimake loss tena

So mulitegemea nn milikopa ili mupate hasara au??? Maneno ya dr ndii kweli yametimiaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Usitumie neno 24 hrs wakat bado umeme kwenu ni tatizo kubwa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapi ichoboy umeme c tatizo Kenya ebu nioneshe mahali penye umeme ni tatizo kubwa halafu tucompare na tz kenya electricty is very cheap token ya shillingi hamsini uko sawa sana
 
Kitale city, Kenya
Yaani Kila pembe ya Kenya ni ufukara wa kutupwa,mwanzo mimi nilidhani slums ni Nairobi pekee, kumbe ni extension hadi Kwenye counties
IMG_1295.JPG
IMG_1296.JPG
IMG_1297.JPG
IMG_1298.JPG
IMG_1299.JPG
IMG_1300.JPG
 
Ndio maana uchache wao umekua na unafauu sana,siunajua apa Tz mbali na towns vijijin ni shida tu
ndio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!
 
nchi yoyote ile yenye population ndogo ina uwezekano mkubwa kwa wananchi wake kuwa na maisha mazuri,tazama cape Verde,ina uchumi mdogo lakini wananchi wake wanamaisha mazuri kuzidi nchi yoyote afrika mashariki na kati,lakini huwezi kusema wamewazidi nchi ambayo ina population zaidi ya mil.50,hii population si rahisi kui-control,hebu imagine maendeleo yaliyofanywa Tanzania nzima,Tanzania ingekuwa ni ndogo Kama Botswana ingekuwaje??,tunapoangalia maendeleo tunaangalia na demand pia..Gaborone ni nzuri sana,hasa usafi,lakini haiwezi kumatch na dar..Botswana nje ya Gabor ni hatari tupu..
Tanzania nje ya Posta ni pathetic too.
 
sasa si bora na tz,hiyo kenya kuanzia cbd hadi ushagoni ni pathetic hakuna dustbin wala garbagecrowler ni mrundiko wa taka na flying-plastic bag toilets..
Ni supu ya albino ndo inafanya ufikirie hivi ,?
 
Kitu pia nimejifunza wakenya ni wachafu sana, hivi kwa nini hampendi kujisafisha na kusafisha vijiji vyenu hivi? Yaani hata Nairobi ni Kuchafu sana, kuanzia kule Nyayo hadi Huku eastleigh ni uvundo harufu nzito uozo


Tazama hapa ni Kisii City Kenya
IMG_1303.JPG
IMG_1304.JPG
IMG_1302.JPG
IMG_1306.JPG
 
ndio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!
Ndio man,mkiwa wengi basi ni tabu maana wengi hua wavivu na tegemezi
 
Back
Top Bottom