nchi yoyote ile yenye population ndogo ina uwezekano mkubwa kwa wananchi wake kuwa na maisha mazuri,tazama cape Verde,ina uchumi mdogo lakini wananchi wake wanamaisha mazuri kuzidi nchi yoyote afrika mashariki na kati,lakini huwezi kusema wamewazidi nchi ambayo ina population zaidi ya mil.50,hii population si rahisi kui-control,hebu imagine maendeleo yaliyofanywa Tanzania nzima,Tanzania ingekuwa ni ndogo Kama Botswana ingekuwaje??,tunapoangalia maendeleo tunaangalia na demand pia..Gaborone ni nzuri sana,hasa usafi,lakini haiwezi kumatch na dar..Botswana nje ya Gabor ni hatari tupu..