Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walisema reli ya karatasi,mbona wamepita wima?
kuna wakati walikuwa watudai ati tuwaonyeshe hata kilometer moja ya sgr yetu ili wapate kuamini kama kweli tanzania inatengeneza electric sgr.

waingereza wana msemo wao unasema "he who laughs last, laughs best".
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo picha si ya Tanzania kijana, hiyo picha ni Kenya. As you can see this Nairobi National park
tapatalk_1543061756647.jpeg
View attachment 944935
 
Kitu hata kilometer moja haijafika [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio sababu ninakuambia andaa passport, November 2019 itakuwa ni Mara yako kuona na kupanda Bullet train, bila Magufuli ungekufa bila kusafiria bullet train.
 
I can't even dream of stepping my foot in Tz leave alone Dar, I don't want to be bewitched.
 
kuna wakati walikuwa watudai ati tuwaonyeshe hata kilometer moja ya sgr yetu ili wapate kuamini kama kweli tanzania inatengeneza electric sgr.

waingereza wana msemo wao unasema "he who laughs last, laughs best".
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
If its true that this is Tz then ni wapi exactly cause me nimekuambia picha ilichukuliwa Nairobi national park.
 
Lete ushahidi kama hapo ni Nairobi National park. Angalia upande wa kulia, wa hiyo reli, utaona sehemu za kufunga nguzo za UMEME, pia angalia hiyo reli ni continuous haija joints kama yenu.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
latest video... this video was published on 19th November 2018.on six days ago.
Video staki kuona. We kwa hiyo kichwa na macho zako kubwa kubwa ueziona mandishi ya kichina hapo kwa corner?
IMG_20181124_154121_225.jpeg
IMG_20181124_154111_752.jpeg
IMG_20181124_154102_058.jpeg
tapatalk_1543061744764.jpeg
 
Lete ushahidi kama hapo ni Nairobi National park. Angalia upande wa kulia, wa hiyo reli, utaona sehemu za kufunga nguzo za UMEME, pia angalia hiyo reli ni continuous haija joints kama yenu.
Wachina hawajengi reli yenyu, then how comes the writings are in their language.
IMG_20181124_154121_225.jpeg
IMG_20181124_154111_752.jpeg
IMG_20181124_154102_058.jpeg
 
Back
Top Bottom