Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa Tanzania GDP per capita ni $3100 ya botswana ni $16900 tanzania consumes 95kwh electricity per capita botswana consumes 1674 per capita 96% of citizens of botswana have acces to clean drinking water 55% of Tanzanians have acces to clean drinking water botswana has a universal health care system to all it is citizens hyo hamna hata usa pia haina hyo halafu bdo mnainsisit you are better than botswana nmetoka jamii forum na delete account yangu fellow kenyans illetracy is real my freinds
If thats the case then Botswana is more developed than Kenya😂😂😂
 
Of course Nairobi kwasababu Nairobi ni mahali pa kutengeneza pesa ni economic powerhouse Nairobi utahustle upate pesa kiurahisi kuliko Gaborone lkni ukitaka maisha matulivu utaenda gabarone haya nipe sababu zako za kuchagua Nairobi
 
Si Kenya pekee hata Nigeria. Kenya and Nigeria are lower middle income countries while Botswana is a middle income country.
Umeulizwa swali dogo unazunguka zunguka hao wanigeria hata hawakupaswa kuwekwa kwenye hiyo point yako[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wakenya ni shida

Ni sawa na kuulizwa "unaitwa nani".na ukaanza kujibu naitwa fake rose naishi kenya
Wakati haujaulizwq unaishi wapi
 
Lol. The fact remains that your country is an LDC and trying to compare it with Botswana is a big insult to the latter.
Life expectancy is lower in tz,high illiteracy levels and low per capita.On the other hand,Botswana meets the criteria for a middle income country

But why this pinching you!!!
 
Wananchi utajua wanaishi vizuri wakiwa na basic needs kama maji kama healthcare kama education kama proper housing hyo yote wananchi was Botswana wanayo
Nilikuwekea employment rate ya Botswana na Namibia compared to TZ ukakimbia😂😂😂Maendeleo ni watu na sio vitu😂😂😂
 
Mkuu hiyo ni Kenya sio Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hilo nasimama upande wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu mwambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], leo nimekubaliana na wewe [emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hyo population kubwa mngetumia vizuri kama labour kwa industrial parks za kuprocess madini SAA hii mngekuwa wapi

Population ingetumika vizuri kuchimba madini ama unataka kusemaje???

Madini yanachimbwa, yanauzwa,pesa inapatikana-sababu ni nyingi inayogawanywa kwa wengi ndipo matokeo take huwa kama haya ya tz.
 
Hapana Nigeria haitumii mafuta vizuri mnawezaje kuwa na mafuta na hamna oil refineries mnapeleka mafuta nje yaoshwe halafu mnaimport tena population kubwa c mbaya ukitumia vizuri utavuna matunda ukitumia vibaya inakuwa liability
Kama ni hivyo,uchumi wa nigeria uko wapi?
 
Nilikuwekea employment rate ya Botswana na Namibia compared to TZ ukakimbia😂😂😂Maendeleo ni watu na sio vitu😂😂😂
hyo najua Tanzania iko na low unemployment rate kuliko Botswana na Namibia hata tz imeshinda south Africa na Algeria kwa employment rate hyo sasa inamanisha mumewashinda kimaendeleo
 
Back
Top Bottom