Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kuona tukiwa kama wao au zaidi,omba Mungu akuweke atleast 20yrs utajua ni kwanini walitupita,saa hii hata nikwambie hutaelewa,bado mdogo sana.
Nieleze hata kidogo nijue mungu nitaomba sana anijalie maisha marefu mno hata nione Kenya pia ikitransform ikuwe developed country
 
Nieleze hata kidogo nijue mungu nitaomba sana anijalie maisha marefu mno hata nione Kenya pia ikitransform ikuwe developed country
Kenya haitakua developed u know why kwasababu tayari mushadondokea kwenye failed state nafasi muliokua nayo zaidi ya miaka 40 wakat tanzania ikihangaikia uhuru wa nchi zingine ikiwa opportunity ile haikuzaa matunda basi sahau miaka ijayo😂😂😂
 
Hatuwawezi cjakataa kama pia usa haiwezani na alqaeda ningefurahi kama jeshi lenu lingeenda Somalia pia tuone vle hao wangeperform kdf imejaribu tena sana cku hizi ww husikia mashambulizi makubwa ya alshabaab kenya tuambiane tu ukweli
So kama mushajua hamuwezi bora mutowe majeshi ili musife kama kuku lasivo nchi ya kenya utalii utakufa kabia kbisa trust me
 
tunawakumbusha tu wakenya maana tunajua mkishakula githeri vichwa vyenu huwa vinapoteza kumbukumbu.

inawezekana mmesahau[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20181123_181725.jpeg

NB:
airbus A220-300 ipo njiani kuja kuongeza idadi.
 
Hahaaa eti chooboy anasema Kenya will never be developed? Atameza panga. Vision 2030 ni lazima. Furthermore, devolution is really working.Hakuna kaunti itaachwa nyuma.
Serious trust my words mulishadondoka kwenye failed state tayari ikiwa 40yrs nafasi ya kudevelop muliichezea kwa sasa sahau😂😂😂😂😂
 
Kenya haitakua developed u know why kwasababu tayari mushadondokea kwenye failed state nafasi muliokua nayo zaidi ya miaka 40 wakat tanzania ikihangaikia uhuru wa nchi zingine ikiwa opportunity ile haikuzaa matunda basi sahau miaka ijayo😂😂😂
kwani ww ni nani ndio ujue hdi future yetu hii failed state bado imewashinda kenya was ranked among failed state because of last year election skirmishes ambayo ilifanya watalii wacancel safari zao na investors wakimbie huu mwaka umekuwa mtulivu sana kwa kenya na uchumi unakua 6% nyinyi ambaye mlipigania watu vita mukasahau kujijenga unaniambia nn kama hamjapita bado kenya hyo miaka yote mnafikiri mtapita kenya 2018 utajua haujui unafikiri kenya imesimama inangoja tz
 
Just post your stuff bro.......very few Tanzanians can argue soberly over here.huyu utazunguka mbuyu na yeye milele ukimtolerate
 
So kama mushajua hamuwezi bora mutowe majeshi ili musife kama kuku lasivo nchi ya kenya utalii utakufa kabia kbisa trust me
Ichoboy huwa unaona news za kenya na kwa hzo news uliona wakitangaza utalii umeimarika kenya 2018 al shabaab c tishio tena ama umesikia huu mwaka wakifanya shambulio lolote kubwa kenya huu mwaka 2018 tafadhali achana na rumours na inakaa unaomba sanaa kenya ianguke
 
Just post your stuff bro.......very few Tanzanians can argue soberly over here.huyu utazunguka mbuyu na yeye milele ukimtolerate
I have noticed he pretends to know everything about kenya while he knows nothing at all i thought we were having a serious dicussion but it is leading me to no where
 
Pole basi bwana mkubwa inakaa nimewaonea hapo kwa south Africa naomba radhi mbona basi msikuwe kama nchi kama Botswana ama Namibia wako mbele sana kimaendeleo c mko na gold diamonds huge gas reserves gemstones tanzanite yote mko nayo nataka tu unipe jibu mwafaka halafu ntapotea jamii forum milele
😂😂😂😂You want to say Namibia and Botswana is more developed than Tanzania?. I have been in those both countries.😂😂😂Thus why i keep on saying nyinyi wa kenya hamjatembea. Can you compare Gaborone or Windhock with Dar es salaam.??😂🤣😂Nisawa nawatu wanavyosema Rwanda is more developed than Uganda wakati for me Kigali naitembea siku moja nakuimaliza. Something wich you cant do with Kampala. Tembelea nchi utajua.😂😂😂😂
 
Kenya haitakua developed u know why kwasababu tayari mushadondokea kwenye failed state nafasi muliokua nayo zaidi ya miaka 40 wakat tanzania ikihangaikia uhuru wa nchi zingine ikiwa opportunity ile haikuzaa matunda basi sahau miaka ijayo😂😂😂
They don't know we sacrificed for many African countries after independence. 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom