Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course wakenya sio mchezo, wengi wao sigara nyota. Sisi Tz hatuvutagi hizo sigara
Wikendi njema Mkuu mi nimeenda kukata maji leo ikiwa furahiday, wewe endelea kukaza mishipa kwa hasira ukibishana na Wakenya walioko Nchi yamaziwa na asali.
 
Tz hatuna maringo hata kidogo.... Na kiukweli yaonyesha kabisa mpo zero kihistoria...
kwenye syllabus ya Kenya kuanzia primary kuna history za Africa zote kuanzia Egypt hadi south Africa halafu mkifika kidato cha nne kuna history za dunia mostly the world wars so chunguza kwanza before ubonge hapa uongo
 
Hakuna mtu huwacheka,tunawashangaa mnaposema mmewatandika alshabaab na kuwafanya wapunguze nguvu as latest updates,hakuna kifo!!!

Hii sio siasa haifai ku brag katika media.
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji13][emoji13]
kwenye syllabus ya Kenya kuanzia primary kuna history za Africa zote kuanzia Egypt hadi south Africa halafu mkifika kidato cha nne kuna history za dunia mostly the world wars so chunguza kwanza before ubonge hapa uongo
 
Hakuna mtu huwacheka,tunawashangaa mnaposema mmewatandika alshabaab na kuwafanya wapunguze nguvu as latest updates,hakuna kifo!!!

Hii sio siasa haifai ku brag katika media.
tumefanya wapungue nguvu hyo c kubrag ukicompare SAA hii na miaka sita iliyopita al shabaab wamepunguza makali hyo in fact ama umesikia shambulizi kubwa LA al shabaab Kenya hivi majuzi ni ukweli tu c kubrag
 
Miji kama arusha mwanza inafaa yakuwe yakingaa kama Durban na Pretoria c ati Mara mwanza inapishana na kisumu cjui arusha na Mombasa kwasababu MNA kla KTU ambacho South Africa wako nacho
 
Hauja nijibu swali nionyeshe mahali ambapo al shaabab walingia Kenya wakatoka na vichwa hamsini za askari

Kuna sehemu nimesema waliingia kenya!!!mbona unanilisha maneno.

Nimeandika,walivamia iliyokuwa kambi ya kdf somalia na kuia askari 50+.hapo kenya waliua wanafunzi wengi.
 
Miji kama arusha mwanza inafaa yakuwe yakingaa kama Durban na Pretoria c ati Mara mwanza inapishana na kisumu cjui arusha na Mombasa kwasababu MNA kla KTU ambacho South Africa wako nacho

Usijifanye mwehu ndugu.

Twende na takwimu za kawaida SA wanazalisha dhahabu pekee kiasi gani kwa mwaka???
 
tumefanya wapungue nguvu hyo c kubrag ukicompare SAA hii na miaka sita iliyopita al shabaab wamepunguza makali hyo in fact ama umesikia shambulizi kubwa LA al shabaab Kenya hivi majuzi ni ukweli tu c kubrag

Bro narudia tena wacha hii.
 
Usijifanye mwehu ndugu.

Twende na takwimu za kawaida SA wanazalisha dhahabu pekee kiasi gani kwa mwaka???
Pole basi bwana mkubwa inakaa nimewaonea hapo kwa south Africa naomba radhi mbona basi msikuwe kama nchi kama Botswana ama Namibia wako mbele sana kimaendeleo c mko na gold diamonds huge gas reserves gemstones tanzanite yote mko nayo nataka tu unipe jibu mwafaka halafu ntapotea jamii forum milele
 
Hyo ndio ukweli ndugu yangu al shabaab wamepungua nguvu pia mnaweza waita friendly al shabaabab vs tz army tuone kuta endaje

Hiyo ndio friendly mumeita kdf na alshabaab???mbona wamewaonea sana,hakukuwa na tathmini kabisa.

Kdf 2-alsh 8
 
Pole basi bwana mkubwa inakaa nimewaonea hapo kwa south Africa naomba radhi mbona basi msikuwe kama nchi kama Botswana ama Namibia wako mbele sana kimaendeleo c mko na gold diamonds huge gas reserves gemstones tanzanite yote mko nayo nataka tu unipe jibu mwafaka halafu ntapotea jamii forum milele

Unataka kuona tukiwa kama wao au zaidi,omba Mungu akuweke atleast 20yrs utajua ni kwanini walitupita,saa hii hata nikwambie hutaelewa,bado mdogo sana.
 
Back
Top Bottom