Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz hatuna maringo hata kidogo.... Na kiukweli yaonyesha kabisa mpo zero kihistoria...
Tanzanians think they know everything about Kenya. Now you are saying we were never taught African history. Tumefunzwa historia yote bana.Nyinyi hata hamkufunzwa jiografia .Mnaringa na histoo peke yake.
 
ah wapi bro huu mwaka umesikia kdf wameuwawa na al shabaab kweli ebu niambie SAA hii Somalia iko stable than ever b4 hata we unajua ndio maana wanapatana investors kama kq vita dhidi ya ugaidi kwa Kenya in very necessary ww huona news za Kenya na kufollow tweet za wakenya huu mwaka umesikia wakilalamika juu ya alshabaab kweli ama kdf watolewa somalia just be honest
Alshabab hamuwawezi bro na wale wanawaacha mujisahau alaf ndio wanawatandika mkubali kua pale mumeshindwa rudisheni majeshi na mulinde mipaka yenu, ameshindwa baba yenu america nyie ndio mutaweza???
 
Sasa wewe ndio umejua, waelimishe wenzako kuwa the real battle inafaa kuwa Nairobi vs Durban/Pretoria/Jorbug/ Capetown lakini sio huo uchafu wa kijiji cha kuvulia samaki cha Dar.
Nairobi
View attachment 943935
View attachment 943936
View attachment 943940
View attachment 943945
View attachment 943947
View attachment 943964

Afadhali mgeitangaza kenya kuwa MiracleKenya ila MagicalKenya! Halafu ndio mnatusema sisi tuna magic! na nyie wenyewe ndio mliorank kuwa metuzidi uchawi:
 
Wewee... Sisi majirani zenu tu ndio tunaweza kuwavumilia mnapopambanisha mbuga ya wanyama na mji wetu wa kibiashara, msijaribu kwa wengine hamjui yatakayowakuta. Yaani mbuga ya nairobi vs mji wa durban! sasa mnavuka mipaka
HUTATUPATA SKYSCRAPER CITY TUKIWATUKANA WANAMANDELA AMA KUJILINGANISHA ILA TUNAJUA TUPO NA MJI MOJA KAMA TUNAOWEZA KUULINGANISHA NA MIJI KAMA DURBAN, PRETORIA AMA JOHANNESBURG. NYINYI KIJIJI CHENU CHA DAR LABDA TULINGANISHE NA KINA LILONGWE AU BUJUMBURA.
 
Acha maneno fanya vitendo, nenda kapost youtube video ulinganishe mbuga ya nairobi na pretoria uone balaa lake. Kufanya kazi tu south waliwaka wakaanza kufukuza wageni, hawataki masihara na milki zao
 
Sio jambo la kufurahia mwenzako akipatwa na matatizo,lakini kwahili subirini muda ndio utaongea.

Hauwezi hitimisha kwamba work done wakati juzi tu kuna watu wametekwa,na washukiwa ni alshabaab,yaani kdf iko somali alshabaab iko konya,what a fn
Sio jambo la kufurahia mwenzako akipatwa na matatizo,lakini kwahili subirini muda ndio utaongea.

Hauwezi hitimisha kwamba work done wakati juzi tu kuna watu wametekwa,na washukiwa ni alshabaab,yaani kdf iko somali alshabaab iko konya,what a f*ck.

Si nyinyi hufurahia wakenya wakiwawa na al shabaabab na hiko kisa cha juzi mtu mmoja ndio alitekwa nyara wa italy kwanza na polisi wanachunguza mm cjasema tumeshinda vita dhidi ya ugaidi kama usa imeshindwa kenya ni nani lkni tunajaribu
 
Acha maneno fanya vitendo, nenda kapost youtube video ulinganishe mbuga ya nairobi na pretoria uone balaa lake. Kufanya kazi tu south waliwaka wakaanza kufukuza wageni, hawataki masihara na milki zao
Pole kwa maumivu babaa, pokea sindano kisha ukatulie vijiweni ukiwaelezea wenzako kuwa WaKenya sio mchezo.
 
nope sio 50 jumla ni more than 145+
Hyo ilikuwa ndani ya Somalia c Kenya we umesema kakuma na dadaab na hao pia ilishaavenge ni vizuri pia ungesema kdf wameuwa al shabaab wangapi ilitucompare na ndio maana nilikushow there is no war that bleeds one side
 
Naona tupo pamoja na kina SA na Tanzagiza pia.

Wee ita Tz unavotaka, ila mikoa ya Tz iliyopakana na kenya tokea nikiwa primary nlikua sielewi kwa nini wanataja neno kenya wakimaanisha uke(K). Yaani demu wako ukimcall anakuambia leo si utakuja nikupe kenya? sasa nimeelewa why
 
Njoo upewe Kenya
 
Alshabab hamuwawezi bro na wale wanawaacha mujisahau alaf ndio wanawatandika mkubali kua pale mumeshindwa rudisheni majeshi na mulinde mipaka yenu, ameshindwa baba yenu america nyie ndio mutaweza???
Hatuwawezi cjakataa kama pia usa haiwezani na alqaeda ningefurahi kama jeshi lenu lingeenda Somalia pia tuone vle hao wangeperform kdf imejaribu tena sana cku hizi ww husikia mashambulizi makubwa ya alshabaab kenya tuambiane tu ukweli
 
Back
Top Bottom