ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ichoboy you can do better than this i know you are smart hyo tweet ni mwaka gani 2014 na hayo marefugee uhuru aliwafukuza kitambo warudi kwao huwa unaona news za kenya inafaa ujue hyo ichoboy ama hakuona hyo somalia is a matter of national security to kenya it pose a threat to kenya as simple as that ichoboy swali langu bdo nategea jibu
Wewe kuna kitu hukijui na unatamani kukijua hahah yani vita muvianzishe wenyewe alafu mumtafute mchawi wapi na wapi bro😂😂😂 waswahili husema utamu wa chipsi ni mimba na utamu wa vita ni kilio sasa leo hii munajitahisi kujinasua kwenye vita lakini wapi ngoma bado nzito