HII NI NINI BUDAA
Ni PichaHII NI NINI BUDAA
THIS HATA MIMI NAWEZA TENGENEZA SO ACHA MANENO MBOVUMBOVUIchoboy are you seeing the differenceView attachment 941329
Tengeneza tu alafu uleteTHIS HATA MIMI NAWEZA TENGENEZA SO ACHA MANENO MBOVUMBOVU
What women like and go to men will follow ila ni wazi wanawake Wakenya wanapenda muziki wa bongo(That is the older generation juu hawa wa siku hizi wameanza kufatilia kina nyansshinski na lamba lolo). Hata wewe lamba lolo.waulize event organizers wa kenya kwanini wana recommend ku-sign deals na wanamziki wa tz. watakupa jibu.
Nimesema you can graft yours, hakuna mwenye amekushika.HUKUJIFUNZA
HISTOGRAM
GRAPHS
MAPS
ETC
Dar inajulikana hapa JF peke yake ila Nairobi ni dunia kote vile vile comedians wenu mnawajua nyie peke yenu ila wetu mnawajua pia. Hebu weka moja bila uoga tuone vituko vya wabongo.Muda ukifika utawajua tu,wala haiitaji nguvu.
Kwani hata kabla ya hii battle ulijua dar imekuwa ya kuicha nairobi???
NYIE MNA COMMEDIANDar inajulikana hapa JF peke yake ila Nairobi ni dunia kote vile vile comedians wenu mnawajua nyie peke yenu ila wetu mnawajua pia. Hebu weka moja bila uoga tuone vituko vya wabongo.
kwa malori haya lazima Dunia iwajue maana wanakuja kuwashangaa mpo dunia ya ngapiDar inajulikana hapa JF peke yake ila Nairobi ni dunia kote vile vile comedians wenu mnawajua nyie peke yenu ila wetu mnawajua pia. Hebu weka moja bila uoga tuone vituko vya wabongo.
Mwasiti acha kujitoa ufahamu,ndani ya germany kuna avenue inaitwa dar,ebu tembea tembea kidogo duniani,acha kujifungia na brainwash ya hapo kiberaDar inajulikana hapa JF peke yake ila Nairobi ni dunia kote vile vile comedians wenu mnawajua nyie peke yenu ila wetu mnawajua pia. Hebu weka moja bila uoga tuone vituko vya wabongo.
Uko sahihi mkuu hata CNN walikuwa hapa kuangazia haya na tafadhali usijinyonge kabla hujatazama hii hapa chinikwa malori haya lazima Dunia iwajue maana wanakuja kuwashangaa mpo dunia ya ngapi
View attachment 941352View attachment 941353
Wanaliwamiliki siku za zamani so ni jambo la kawaida.Mwasiti acha kujitoa ufahamu,ndani ya germany kuna avenue inaitwa dar,ebu tembea tembea kidogo duniani,acha kujifungia na brainwash ya hapo kiberaView attachment 941354
lamba lala ndio takataka gani?What women like and go to men will follow ila ni wazi wanawake Wakenya wanapenda muziki wa bongo(That is the older generation juu hawa wa siku hizi wameanza kufatilia kina nyansshinski na lamba lolo). Hata wewe lamba lolo.
Hii hapa skiza kwa makini halafu ulambe lololamba lala ndio takataka gani?
Hii hapa skiza kwa makini halafu ulambe lolo
Uko sahihi mkuu hata CNN walikuwa hapa kuangazia haya na tafadhali usijinyonge kabla hujatazama hii hapa chini
Halafu ukajisahaulisha haya
View attachment 941356
View attachment 941357
View attachment 941358
View attachment 941359