Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe unamfahamu na unamfuata Inspector Mwala?.

kwanini nisimfamu,
umesahau kuwa mimi ni jizee la 60s?.
nimeanza kumfatilia mwala miaka mingi sana kabla hata mama yako na baba yako hawajakutana kimwili ili itunge mimba uzaliwe wewe kilaza.

nimeanza kumfatilia mwala kabla hata fb, instagram na whatsapp hazijaanza kutumiwa publicly na civilians(by then hizi platforms zilikuwa zinatumiwa na taasisi za kijasusi tu kama CIA na MI6).
 
tuendelee kujadili kuhusu entertainment au nibadili gear hewani kwa ku-introduce mada nyingine?.

housemaid huwa anachukia sana anapoana wakenya wote wana concentrate ku-respond katika issues ninazo zi-introduce.
 
Logo zinazootamba east and central africa😂😂😂😂😂👇👇👇👇
518BE211-F963-41AD-81B8-3B20AAA2F6F1.jpeg
 
mumegundua tofaut ya kilimanjaro 6 na kilimanjaro 7😀😀😀😀😀

kilimanjaro 6
1542786200315.png








kilimanjaro 7
1542786272226.png
 
HAWA JAMAA BHANA BADO MAGARI YAO YANA CARRIER ZA JUU?????
HALAFU WANAKUJA NA MANENO MEEEENGI HUMU NDANI
 
Back
Top Bottom