Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First compare this to Dongo Kundu in Mombasa, Second, we don't deal with renders here
Naona render imekuchanganya😂😂😂Ujenzi unaendelea tena kwa kasi. Very soon construction ya flyover nyingine sehemu mbili tofauti inaanza😂😂😂Tuliza mshono😂😂
 
Hiyo render ya ubungo ni utoto mbele ya hii interchange
tapatalk_1542744789150.jpeg
tapatalk_1542740508547.jpeg
 
Wamechakaa yani hata pesa ya kuingia studio za adabu hawana😂😂😂😂😂😂
My poor friend kuna kitu inaitwa creativity na target audience kwa any business venture with an aim to reduce cost at the same time maximise revenue tena hao ni watoto wa High School.
 
ichoboy pls usitumie maneno makali...utafanya comedian mwaswast aka inspector mwala atoe machozi.
Kumbe unamfahamu na unamfuata Inspector Mwala? Kenyans are famous in Tanzania, mie sijui hata comedian moja wa bongo hebu weka kadhaa niwatambue.
 
sina shaka na ubora wa sauti sol. but kwa sasa game yao inafikia ukingoni. walikuwa kwenya kilele cha ubora 2012-2016. kwa sasa wanajikongoja.

halafu shida ya wakenya huwa hamna program ya ku-groom wanamziki wapya ambao watateka airwave za mziki wa kenya. mna ubinafsi sana.

leo hii nikuulize, hao sauti sol kwa miaka yao yote ya umaarufu, wamemuibua mwanamziki gani mchanga wa kenya?.

sasa njoo kwa diamond platnumz, kumuibua rayvanny, harmonize, mbosso na lavalava.

ukija kwa alikiba sasa hivi ana manage vijana wake wanne wanaounda kiba music band na single yao ni moto wa kuotea mbali.

it's pure fact punch after punch.

Hebu tupe show hawa wanamuziki wenu wanafanya kokote Tanzania if at all there is any.
 
Kumbe unamfahamu na unamfuata Inspector Mwala? Kenyans are famous in Tanzania, mie sijui hata comedian moja wa bongo hebu weka kadhaa niwatambue.

Muda ukifika utawajua tu,wala haiitaji nguvu.

Kwani hata kabla ya hii battle ulijua dar imekuwa ya kuicha nairobi???
 
Anarusha picha ili adanganye wasiojua wajue pale ni nairobi😂😂😂😂😂😂😂
Ndo maana nkauliza maelezo kwamba ni Kenya hii hii au nyingine maana sijawahi kuiona hii picha humu na kila siku wanarudia mapicha yaeyale
 
Back
Top Bottom