Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimesema hivii nenda kapige picha the other side of this interchange
maana naamini umeitoa kwa website
 
haka kabinti ka kikenya kana mahaba mazito na mwanamziki wa kitz Aslay.

comment yake hii kule youtube inajieleza wazi.

comment kama hizi huwezi zipata kwenye videos za wanamziki wa kenya. yaani huwezi kupata binti wa kitanzania anaandika maneno mazito kama haya kwenye videos za wakenya.

hii inasababishwa na mziki mbovu wanaoimba wakenya.
Screenshot_2018-11-21-12-01-01-151_com.google.android.youtube.jpeg
 
kumbe huwa wana-like post zake licha ya kwamba hawapendi hustle zake.


huyu frasha wiki kadhaa zilizopita aliandika shit kulalamikia kitendo cha wasanii wa kitz kutawala soko la mziki la kenya. pia alilamika wasafi hufanya show kubwa kenya tarehe 31 december.
shenztype... mtajibeba.


IMG_20181121_122026.jpeg
 
Back
Top Bottom