Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo sehemu ni kubwa hizo suburb ulizoweka hazifikii hilo eneo kwa ukubwa na ubora hata nusu ....hiyo picha ni moja yakijipande cha hilo eneo tu....
Pia bado pia mbele kabisa kuna estate kama hizo zenu sema zenyewe ziko modern zaidi kwa hapo hazikuweza kuonekana sababu zipo mbali ......nikipata aerial view nitaiweka hapa
Hizi nyumba kumi ndo unaita density?
 
Made in Tanzania by Jambo Plastic

nbbt.jpg
fbt.jpg


120wb.jpg
od.jpg
2331.jpg



bk.jpg
1011.jpg
birika2.jpg



rsb.jpg
colander2.jpg
colander1.jpg



hanger1.jpg
rs.jpg
stool2.jpg
Aibuuuuuuuu
 
Shit hole alafu wanasema ati hapo ni cbdView attachment 936530

Hiyo nani huita morocco square ni cbd??mbona nyie watu mnaogopa kivuli chenu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!!,au kisa umeona vodacom tz hq huo mtaa???

Dar es salaam cbd ni moja tu posta.hatuna cbd nne kama nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom