Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha imefanya nicheke Sana. HII NDIO kijitonyama!???? KWELI NA MOROCCO SQUARE i pale naiona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vinjia vya matope!!!? Enhe. Kumbe msiniambie lolote kuhusu kijitonyama. Hapo ni Roysambu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 936252

Those pain behind emojis[emoji16][emoji16][emoji1].

Nairobi hakuna njia za matope???achana na za mavi hizo zitakuonyesha tutachefua watu wapa.
 
Hebu vuta picha after 20years hizo jengo zitakuwa na muonekano gani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Siyo siri mnadezain zakilocal sana ni dezain chakavu ,,huwezi tengeneza jengo mbovu zisizo na ubora kama hizo kwa pesa ya kodi za wananchi....ni inasikitisha sana[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
p055slzp.jpeg
images (2).jpeg
images (4).jpeg
IMG-20141217-WA0011.jpeg
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],kweli kabisa...

Hata hivyo kenya hawana taratibu za police kuwa na tatoo ..huyo anaokota picha za white anajicompare na poor kenyan
Police hawezi kuwa na tattoo,huyo ni Malaya..
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],kweli kabisa...

Hata hivyo kenya hawana taratibu za police kuwa na tatoo ..huyo anaokota picha za white anajicompare na poor kenyan
Kwani huyo white ni polisi ama jambazi?
 
Toka LDC bongolala uone mengiView attachment 936359
Nilijua tu utakuja huku,kwanza tambua hao si askari ni models tu,pia wakenya mnapenda ku-copy na ku-paste marekani na uingereza!..hivi huwa hamuwezi kufanya viti vyenu??..nilishangaa uhuru alivyoruhusu wanaume kwa wanaume waoane eti kwa sababu america na uingereza wanaume huoana!sasa ona ulivyokuwa mjinga umeokota picha za models mtandàoni unadhani ni askari kweli,we unafikiri hizo picha ninazo kibao hadi Kim kardashian kavaa kombati..
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],kweli kabisa...

Hata hivyo kenya hawana taratibu za police kuwa na tatoo ..huyo anaokota picha za white anajicompare na poor kenyan

Kwao ni ujanaja kufanya kama wazungu.
 
Leta evidence,,,arusha ni nyumbani lete official takwimu zinazoonyesha kama nusu ya wakenya ndiyo wafanya biashara waliopo arusha kuliko wazawa wa arusha wenyewe,,
Leta mkuu niione maana wewe ndiye umekuwa tanzania government na huwa unapiga sensa kwa macho ,,,angali hata boda haulijui

Nangojea evidence yako mzee wa takwimu
Evidence gani. Si uende Arusha utapata wakikuyu wakiongea Kikuyu tu!! Waluhya wakipiga Yao. Na Wajaluo!!!
 
Nilijua tu utakuja huku,kwanza tambua hao si askari ni models tu,pia wakenya mnapenda ku-copy na ku-paste marekani na uingereza!..hivi huwa hamuwezi kufanya viti vyenu??..nilishangaa uhuru alivyoruhusu wanaume kwa wanaume waoane eti kwa sababu america na uingereza wanaume huoana!sasa ona ulivyokuwa mjinga umeokota picha za models mtandàoni unadhani ni askari kweli,we unafikiri hizo picha ninazo kibao hadi Kim kardashian kavaa kombati..
Nani amekuambia hao ni models [emoji23][emoji23][emoji23], leta prove that they are models. Guess work utaacha kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom