Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are these Tanzanian towns never clearly developed....utapata tu mkusanyiko wa nyumba za kuhurumiwa na roundabout ati city....nkt
 
Waliambiwa kila kitu watakuwa wanablame Kenya, utaskia mwingine akisema ati sijui wako ndege moja cause Kenya iliiba ndege yao [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 kuna comedians wengi huko kwao.. Ni ile tu hawajui sana talanta
 
Hakuna cha ajabu...hapo ,,,hilo eneo ni balaa inaelekea wakati unakuja dar ulikuwa umekuja kwa ndoto......hakuna ulijualo
Aah! Aah! Mi Dar Sijatembea vile. Nisiku moja tu ya kuvisit. Wakati nimekaa Namanga na Kimana, nimeingia ingia TZ lakini Dar mara moja tu. Nikishika njia naingia Namanga, Longido, Mlima Matako pale ukielekea Arusha. Arusha mjini. Lakini Arusha ikiondoa EAC HQ inabaki kama Kajiado Tu. Vinyuma vya mabati na vumbi kote. Kwanza Arusha karibu nusu ya watu wanaofanya biashara pale ni wakenya. Hata kwa ujenzi. La kushangaza, wenye pesa Arusha huleta watoto wao kusomea Namanga, Kajiado, Isinya na Kitengela Kenya.
 
Nawaambia tu ukweli. Dar huwezi pata street imetulia kama hii. Wacha wapige walete hapa tuione. Bila make up. Raw image. Mombasa Kenya
IMG_20181116_040812.jpg
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti haujatembea,kwa hiyo ulikuwa unapaaAu unadhani level hapo ni sawa na huu uchakavu wenu wa nairobi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Aah! Aah! Mi Dar Sijatembea vile. Nisiku moja tu ya kuvisit. Wakati nimekaa Namanga na Kimana, nimeingia ingia TZ lakini Dar mara moja tu. Nikishika njia naingia Namanga, Longido, Mlima Matako pale ukielekea Arusha. Arusha mjini. Lakini Arusha ikiondoa EAC HQ inabaki kama Kajiado Tu. Vinyuma vya mabati na vumbi kote. Kwanza Arusha karibu nusu ya watu wanaofanya biashara pale ni wakenya. Hata kwa ujenzi. La kushangaza, wenye pesa Arusha huleta watoto wao kusomea Namanga, Kajiado, Isinya na Kitengela Kenya.
465760.jpeg
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti nusu ya wafanyabiashara wa arusha ni wakenya.. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Habari za usiku Mr.Wanjaa?...naona inabidi tuanze salama za usiku sasa

LETA EVIDENCE

Evidence gani. Si uende Arusha utapata wakikuyu wakiongea Kikuyu tu!! Waluhya wakipiga Yao. Na Wajaluo!!!
 
Unapenda kuongea màtope sana. Kenyan girls are dignified people. Si kama wengine wanajulikana vile huwa desperate hadi wanatumia ushirikina ndio wapendwe
Nilishangaa kuona eti askari wa kdf ana rasta,leo tena police officer ako na tattoo mkononi.
Eti ni police,hahaaaaaaaahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom