Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands Nairobi Kenya
Screenshot_20181115-195548.png

The highest all glass observertory deck in Africa under construction in Westlands Nairobi Kenya
Screenshot_20181115-195724.png
 

Attachments

  • Screenshot_20181115-195724.png
    Screenshot_20181115-195724.png
    272.5 KB · Views: 15
,kweli kabisa...

Hata hivyo kenya hawana taratibu za police kuwa na tatoo ..huyo anaokota picha za white anajicompare na poor kenyan
Anaokota picha za mtandaoni models wamevaa kombati,ye anadhani ni real police officers,halafu mi nashangaa yaani kitu kikifanywa na mzungu hata kama ni kibaya ilimradi kimefanywa tu na mzungu wakenya kwao ni halali,hawana maamuzi yao binafsi,jamaa bado wana chembechembe za utumwa akilini mwao..
 
jamaa ana akili zakitoto amakuwa mwanatakimwu ya government anakuambia eti nusu ya arusha wafanya biashara ni wakenya kuliko waarusha
Those pain behind emojis.

Nairobi hakuna njia za matope???achana na za mavi hizo zitakuonyesha tutachefua watu wapa.
 
Those pain behind emojis.

Nairobi hakuna njia za matope???achana na za mavi hizo zitakuonyesha tutachefua watu wapa.
Ziko kibera sasa inamaanisha tulinganishe Kibera na Kijitonyama!? Hivi inamaanisha Kijitonyama ni Slum!?
 
Nani amekuambia hao ni models , leta prove that they are models. Guess work utaacha kijana
We jamaa ni zwazwa kila siku huwa nakwambia,huku bongo askari akiwa tatted ni kosa,na Anakosa sifa ya kuwa askari!
Acheni copying and pasting saa zingine msimame ninyi wenyewe kama wakenya,wajinga ñyinyi!!
 
Uhuru muoga anaogopa kukosa misaada anajua kabisa kuwa asilimia 100% kenya haiwezi kufanya chochote kimaendeleo mpaka misaada
Hivyo lazima atii na inawezekana UHURU akawa ni shoga walishampasua malinda
Nilijua tu utakuja huku,kwanza tambua hao si askari ni models tu,pia wakenya mnapenda ku-copy na ku-paste marekani na uingereza!..hivi huwa hamuwezi kufanya viti vyenu??..nilishangaa uhuru alivyoruhusu wanaume kwa wanaume waoane eti kwa sababu america na uingereza wanaume huoana!sasa ona ulivyokuwa mjinga umeokota picha za models mtandàoni unadhani ni askari kweli,we unafikiri hizo picha ninazo kibao hadi Kim kardashian kavaa kombati..
 
Leta evidence,,,arusha ni nyumbani lete official takwimu zinazoonyesha kama nusu ya wakenya ndiyo wafanya biashara waliopo arusha kuliko wazawa wa arusha wenyewe,,
Leta mkuu niione maana wewe ndiye umekuwa tanzania government na huwa unapiga sensa kwa macho ,,,angali hata boda haulijui

Nangojea evidence yako mzee wa takwimu
Umelewa ama uko sober!?
 
We jamaa ni zwazwa kila siku huwa nakwambia,huku bongo askari akiwa tatted ni kosa,na Anakosa sifa ya kuwa askari!
Acheni copying and pasting saa zingine msimame ninyi wenyewe kama wakenya,wajinga ñyinyi!!
Si unaskia ukisema tu bongo , kila time tunawaambia bongo ni LDC na hamuelewi, vitu kama hizo huezipata LDC which is ruled by foolish President MagFOOLI
 
Back
Top Bottom