Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy usiiguse upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Drug dealer maybe it's the cocaine in your head you seeing twos
 
wanjala hujaniambia hii jengo inaitwaje😂😂😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 934424
Wacha kuhesabu ambalo halijakamilika
Hesabu floor ndio hili limekamilika kitambo
Screenshot_20181114-231857.png
 
Inabidi muwaminyie .....

Wanapoteza mda kwa MSA
Ichoboy usiiguse upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanareason zakitoto ,,,na hauwezi amini ukienda vyuo vya kenya kunavicourse vya ajabu usishangae hapa wanjala na ndevu zake zote kama beberu ukaambiwa anadiploma ya ususi twende kilioni na el matandabui naye akawa na degree yakukosha vyombo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wangekua wamesoma majengo yasingekua yanaanguka ovyovyo ana simama engineer anakwambia upepo uliangusha na ni jengo linajengwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu walipotez pesa za walipa kodi kisherekea 😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇 loss imezaa worse

 
ntahesabu vipi wanjala hapo mbona kama vile huna akili wewe nipe jina la jengo usiogope bro sikuumbui ntapiga kimya😂😂😂👏👏👏
Ilikazana na ile ulikuwa unasema Oman, nikakwambia. Sasa hii tena!? Wewe mwenyewe tafuta jina la hii. Upikiwe utafuniwe wewe iwe kumeza tu!?? Kazi kwako
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Edward wanjala ....hivi maana na wanjala ni nini?...
Hebu nisaidie ukishanijibu ndiyo tuendelee na hiko kitu
The following map shows where Chinese loans are in the world. Watanzania mnadanganywa. Mtajua mkishakuwa vibaraka wa wachina. Tanzania ndio inaongoza. Angalia vizuri mtaonaView attachment 934439
 
Ilikazana na ile ulikuwa unasema Oman, nikakwambia. Sasa hii tena!? Wewe mwenyewe tafuta jina la hii. Upikiwe utafuniwe wewe iwe kumeza tu!?? Kazi kwako
Nipe jina la hili jengo wanjala😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👇👇👇👇
971242F0-B6CF-4780-813B-3C978F298CAF.jpeg
 
Back
Top Bottom