Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na sikushangaa mumewekwa kwenye kundi la failed state alaf angola ana GDP ya 120b na 23million people ila yupo LDC wewe hushangai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Asante kutoshangaa...na pia bado sijashangaa kuona mko ldc na nchi inasemekana ni ya asali na maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
uahahhahahhahah wenzako wamekwambia usitaje list wanajua kipigo hua kitakatifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Unaeza list pia mkalinganisha na wenzako mkajifurahisha lale tandale[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Asante kutoshangaa...na pia bado sijashangaa kuona mko ldc na nchi inasemekana ni ya asali na maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ahahahha nchi imeanza development just 10yrs lakini hamuna hata amani na raha😂😂😂😂👏👏👏 sasa amekuja huyu mwamba uncle magu ndio kabisa 😄😄
 
ahahahhaha ww huwez shangaa kwasbabu umaskini ni sehemu ya maisha yako huku ukiwa na ndoto za mchana za kumiliki ardhi na nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382]
Santa sana kijana....punguza jazba kijana..kuhusu ardhi kwetu tunazo hadi kwngine kumemea nyasi...yani...hhhh..wakenya hawapagawi na kujenga katika city...kila mkenya ana kwao...
 
Unaeza list pia mkalinganisha na wenzako mkajifurahisha lale tandale[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
😂😂😂😂👏👏👏👇👇👇👇
C500BA65-E631-46F6-8348-487D837F36FF.gif
 
ahahahhaha ww huwez shangaa kwasbabu umaskini ni sehemu ya maisha yako huku ukiwa na ndoto za mchana za kumiliki ardhi na nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382][emoji382]
Sio km vijana wa dar kw shangazi..akiambiwa imewadia yeyeurudi kijijini anaanza kulia lia..eti shangazi dar kutamu...hhhh!!!
Yani wanangania dar hadi wakaamua kujenga vijiji mjini...hhh!!
 
Purchasing power again,do you know what you are posting..?
You better stick to cook for your husband!
I know Lucy. Hiyo ilikuwa ya kufanya jichoboy atokwe na povu.Anyway I realised you don't understand the difference between per capita income and the real GDP. ignoramus. What can you teachme about economics. Do you even know how GDP is calculated? Kama unashindwa ku-upload pics mamboya econ. Ndio utaweza? Stick to your lanes girl
 
Back
Top Bottom